Hiki chama ni cha kidini?

Pumbavu
 
Wizi wa kura toka 2019, 2020 na 2024 na kuua watu ni haki??

Kuua watu kwenye chaguzi ndio haki?

Mtu kusema hatoshiriki uchaguzi Kuna shida gani yaani mnataka watu waendelee kuuawa kwa sababu ya chaguzi za kuhuni

Hakuna mtu makini awe pastor, mwanasiasa, padri au mwananchi wa kawaida anaweza kukubali uhuni unaofanywa na CCM

Bora tusipige kula wajichague wenyewe watawale kuliko kuendelea kuua watu sababu ya madaraka!!
 
Divide and Rule...

Huku watu mnapigana wenyewe kwa wenyewe wakati makupe wanabadilishana kunyonya damu...

The only way ya kuweza kufanikisha haki na maisha ya wabangaizaji ni kuacha ku politicize issue (mabaya yakemewe no matter yanafanywa na nani)
 
Asante kwa jibu zuri, bado nakusanya maoni

..ili chama kiwe cha kidini inabidi kiwe kimelalia ktk misingi ya kutetea masuala ya KIIMANI ya dini husika, huku kikiwatupa mkono watu wa dini nyingine.

..hakuna wakati wowote ule Chadema ilitetea mambo ya kiimani ya dini moja, dhidi ya dini nyingine.

..hata Reforms wanazozipigania sasa hivi ikiwa zitatekelezwa zitawanufaisha Watanzania wa imani zote.

..pia Watanzania tunapaswa kuelewa kuwa suala la Reforms ktk siasa, muasisi wake sio Chadema, bali alikuwa Raisi Ally Hassan Mwinyi, akichagizwa na ripoti ya Jaji Mkuu Francis Nyalali.
 
Yaani kama hizi ndio brain za jf basi tuna safari ndefu sana.
 
Usipige kura wewe, ila usihamasishe wengine, ni uhaini, mkishtakiwa mnalalamika
 
CHADEMA Ndyo zao halafu wanalialia sana wanataka huruma
 
Elewa code!

Ukiona TEC wanazungumza ujue wenye Dola ndio wanazungumza kupitia wao!!

Ukiona nyaraka zinasomwa na viongozi wa dini kama ule wa do world ujue wenye Dola hawajapendezwa na mwenyekiti yupo hatiani ama arekebishe au ajiandae kuondolewa kitini Kwa namna ambayo itaonekana inafaa!!

Utawala wa jpm umenifunza mengi sana,na procedures no zile zile!!

Unakumbuka mchezo uliotumika kuusambaratisha wanamtandao enzi za kikwete!!?jinsi padri Dr. Slaa alivyotumika kuumaliza mtandao wa kikwete Kwa kumuondoa Lowasa kwenye system!?

Unafikiri ilikua bahati mbaya!!?

Kuna jambo Moja tu naliogopa nalo ni mwenyekiti atakapoona aondoke kitini na Lisu!!unanielewa!!?mashekh kuhukumiwa kunyongwa sio kwa bahati mbaya nadhani ni wake up call kwamba anaweza kuondoka na kichwa Cha mtu!!nadhani system itakua pro active kwenye hilo coz mtu anapopoteza madaraka hatotaka ayapoteze kilelemama lazima na na yeye ataamua kuwaachia majeraha wale waliomtuma chambo Cha process nzimae ya no reform no election!

Mawazo TU haya!!
 
Lazima wakemee dhambi kwa nguvu zao zote, tumechoshwa na uhuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…