mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,488
- 2,979
- Thread starter
- #21
Sawa mkuu, najua nyie ni mahidari wa kuhamisha magoli mkishindwa hojaWapumbavu NAO huzeeka.pumbafuu Wewe!!!
Sawa mkuu, najua nyie ni mahidari wa kuhamisha magoli mkishindwa hojaWapumbavu NAO huzeeka.pumbafuu Wewe!!!
Kwanini matamko yao yanaungwa mkono na viongozi wa dini?
Ni either wanaanza wao kusema au kutoa tamko na halafu viongozi wa dini flani wanaunga mkono na kusisitiza au wananza viongozi wa dini flani kisha wao wanaunga mkono na kusisitiza,
Tena hao viongozi wa hicho chama wanatoa matamko ya kuamrisha serikali na wala sio kushauri au kupendekeza
Yaani ni amri tu kwanini lakin
Waungwana msifute hii, acheni tujadili tupeane faida
Ukiwa na akili huru na ukaitumia vizuri utaelewa kabisa kwamba mimi nina faida kwa hicho chama kuliko mnavyodhani coz nawatahadharisha na hiyo njia mnayopitia pengine kwa makusudi au bila kujuaNi kawaida yenu CCM mnapokosa hoja huwa mnakuja na vihoja.
Chama chochote cha upinzani kinapokuwa tishio kwenu mnakiunganisha na dini ili kukipunguza nguvu.
CUF ilipokuwa imara mkaiunganisha na uislam, mkadiriki kutangaza bila haya kupitia taasisi yenu ya polisi kwamba mmekamata majambia konteona zima yaliyoingizwa nchini na CUF.
Hizi hoja za udini hazina mashiko na wananchi wameshazidharau..
Ukiwa unawaza kwa kutumia matraako ndipo unaweza kuja na hoja kama zako.
Kuweni wakweli tu ,sasa hi I ccm iko na serikali na waislamu na hawataki haki,watetea haki wote wako na upinzani na wakristo walio wengiUkweli ni kwamba hata CCM ni Chama cha kidini yaani kina wenyewe.
TAA
Tanganyika African Association
ASP
Afro Shiraz Party halafu kuna huyu
TANU
Tanganyika African National Union
Kama ukifuatilia Kwa umakini waanzilishi wengi ni wa dini fulani.
Japokuwa haya mambo ya udini hatupaswi kuyapa nafasi tutatengeneza bomu litakalo tugharimu
Hoja za kipumbavu hujibiwa kipumbavu vile vile.Mkishindwa hoja, au hoja ikiwa ngumu mnakimbilia matusi, ok sawa hiyo nayo ni mbinu na ndio mbinu zenu hizo,
"Tufanye fujo inchi isitawalike nk nk nk
Nitajibu baadhi ya hoja hapa japo upo inje ya mada yanguHapa ndipo Viongozi wa siasa wanapo kwama. Kudhani ya kwamba wao ndio chimbuko la Amani.
Amani ni Zao la Haki. Haki ni Mama wa Amani.
Ukichezea Haki za watu usitarajie kupata Amani.
Na hapa viongozi wa kisasa wanapaswa wawa shukuru viongozi wa Dini maana Amani ya nchi yetu imeshikiliwa na wao kwa kuliombea taifa hili.
Wito wangu kwa serikali yangu ya chama cha Mapinduzi.
Kuku Bali kuleta Mabadiliko sio kushindwa Bali ni kutengeneza historia itakayo kumbukwa na vizazi vyetu.
Mwalimu hakuwa mjinga kuwa sikiliza wachache waliopaza sauti juu ya uanzishwaji wa vyama vingi.
Kura ya maoni ulionyesha wengi walikataa vyama vingi na waliokua na sababu nyungitu za msingi.
Lakini Mwalimu Alisema tusipuuze Sauti ya wachache kwa Busara yake Mfumo wa vyama vingi Ukazaliwa.
Na ulileta ushindani mkubwa mwaka 1995 na ccm ilipoteza baadhi ya majimbo yake.
Lakini Mwalimu Alisifu ushindani ule na kusema umekiamsha chama cha Mapinduzi kufanya siasa nzuri na kuwajibika kwa wananchi na sio kufanya siasa kwa mazoea.
Ni vyema chama cha Mapinduzi kikasoma alama za nyakati.
Sasa hivi wananchi wamekua na uelewa mkubwa Sana juu ya nchi yao hivyo ni vyema chama cha Mapinduzi kika kubali kwenda na wakati uliopo na sio kuishi kwa mazoea na kuona Kwamba kila anaye kikisoa ni Adui Bali wachukue ukisoaji kujitathimini na kujitengeneza Upya.
Kifutwe tuuNi kawaida yenu CCM mnapokosa hoja huwa mnakuja na vihoja.
Chama chochote cha upinzani kinapokuwa tishio kwenu mnakiunganisha na dini ili kukipunguza nguvu.
CUF ilipokuwa imara mkaiunganisha na uislam, mkadiriki kutangaza bila haya kupitia taasisi yenu ya polisi kwamba mmekamata majambia kontena zima yaliyoingizwa nchini na CUF.
Hizi hoja za udini hazina mashiko na wananchi wameshazidharau..
Ni udini tu unawasumbua,Hoja za kipumbavu hujibiwa kipumbavu vile vile.
Ukweli ni kwamba hawataki hiyo haki wapinzani wanataka fujo tuKuweni wakweli tu ,sasa hi I ccm iko na serikali na waislamu na hawataki haki,watetea haki wote wako na upinzani na wakristo walio wengi
😂😂😂Mimi nadhani ungewauliza kwanza Masheikh wako wa Bakwata ambao kila siku wanamfanyia dua mgombea mmoja tu wa Urais.
Childish spinning!Kwanini matamko yao yanaungwa mkono na viongozi wa dini?
Ni either wanaanza wao kusema au kutoa tamko na halafu viongozi wa dini flani wanaunga mkono na kusisitiza au wananza viongozi wa dini flani kisha wao wanaunga mkono na kusisitiza,
Tena hao viongozi wa hicho chama wanatoa matamko ya kuamrisha serikali na wala sio kushauri au kupendekeza
Yaani ni amri tu kwanini lakin
Waungwana msifute hii, acheni tujadili tupeane faida
Hivi kweli utapata haki pasipo na amani? Mimi nadhani amani kwanza kisha haki labda tukubaliane kwamba amani ipo,Vipi bakwata wanaunga mkono CCM sio waislamu au bakwata ni dini gani?
Watu wanaunga mkono haki
Haki ipo kwenye biblia labda Kama haki haipo kwenye uislamu ni sawa
Viongozi wa dini wanaongoza watu na wanaoteswa ni watu wakiuwawa wote wakaisha nani watamsalisha kanisani
Amani ni haki na haki ni amani
Tunza haki upewe amani
Hoja ngumu hii, haijibikiChildish spinning!
Wewe ndiye mdini kwanini wengine hawajaona kwa jicho la udini, kinywa cha mtu hutamka yaujazayo moyo wake. Bakwata inaunga mkono CCM kwa hiyo tuseme CCM ni chama cha Kiislamu? Tumia akili hiyo hiyo kidogo uliyobakishiwa.Ni udini tu unawasumbua,
Hapo ushamkimbiza huyu kilaza.Mimi nadhani ungewauliza kwanza Masheikh wako wa Bakwata ambao kila siku wanamfanyia dua mgombea mmoja tu wa Urais.
Hata wangekuwa wao wangefanya hivyo hivyo tuCCM ni chama cha Mapolisi,ushahidi huu hapa👇
View attachment 3320592