Hijab kwenye shule za kikristo

Kwa mtu anayemjua Mungu wa kweli,mavazi sio ishu.Jambo la msingi ni kuvaa mavazi yanayositiri mwili.Ukiona mtu anang'ang'ania kuvaa mavazi ya aina fulani kwa kisingizio cha dini ujue mtu huyo kiroho ni mtupu,kwa maana nyingine hamjui Mungu wa kweli.
....naona unajichanganya tu ! Chemtrail
 
Kwa mtu anayemjua Mungu wa kweli,mavazi sio ishu.Jambo la msingi ni kuvaa mavazi yanayositiri mwili.Ukiona mtu anang'ang'ania kuvaa mavazi ya aina fulani kwa kisingizio cha dini ujue mtu huyo kiroho ni mtupu,kwa maana nyingine hamjui Mungu wa kweli.

Hapa wamejisitiri au wameva mavazi ya aina fulani Chemtrail
 
Sio mbaya,ila wamezidisha kidogo.Jambo la msingi ni kusitiri maeneo ambayo yanaweza kumpa mwanaume kishawishi.Kwa mfano,kwa mwanaume wa kawaida kama mimi,sioni kama kuna haja yeyote ya mwanamke kufunika sehemu yeyote ya kichwa chake.Kwa kuwa sio sexually attractive.Hata chini ya goti more than one foot sioni haja ya kufunika kwa kuwa pia sio sexually attractive,unless na mimi nina shida.Frankly kujifunika gubi gubi ni kujipa mateso tu hasa kwenye sehemu zetu hizi za joto.Niseme hivi,God is more interested in your soul,not body as long as ume-dress kwa staha.Tusiwatese watu wengine kwa ajili ya kuficha udhaifu wetu.
View attachment 434172
Hapa wamejisitiri au wameva mavazi ya aina fulani Chemtrail
 
kwani Mungu gani anayelazimisha watu?
 
Kwani magufuli alopoingia madarakani wanaccm c walifurahi sasa mbona sasa hv tunalia wote hata huyo trump kwanza hawez kuuchokoza uislam
 
Kama wamevaa hivyo kwa kupenda wao wenyewe baada ya kujua maana ya kujisiri na umuhimu wake,sina tatizo,it is fine.Mambo ya kiroho hayalazimishwi,ni lazima mtu mwenyewe akubali au kwa maana nyingine ni lazima yatoke rohoni.Akifanya kwa kulazishwa haimsaidii chochote.
hawa vipi wamejisitiri au wamevaa ?? Chemtrail
 
Leo ndo nimejua kuwa uso niuchi
 
Watakupa na "justification" tu, kwamba sheikh maana yake mwanaume mtu mzima!! Wananipaga raha sana hawa watu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
me sipendi...huwa nawajibu me si Sheikh bana..halafu wanajustify kwa maneno uliyosema
 
Hawa watu sinaga hamu nao, dini hailazimishwagi lakin sasa sio shida kukuchinja et umekana kuwa muislam aaaaaa wanaboa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…