jeipm
JF-Expert Member
- Sep 28, 2018
- 500
- 820
Nitiririke moja kwa moja kwenye hoja tajwa hapo juu.
Nahisi Kuna mpango nyuma ya pazia kwa hii idadi ya wanawake inayoongezeka kwa wajawazito kupangiwa au kujikuta wanalazimika kujifungua kwa njia ya upasuaji.
Ndani ya familia yangu na ndugu wa karibu kati ya wanawake 4 wachanga wanajifungua 1.5 wanajifungua kwa upasuaji.
Ushauri: kujifungua kwa upasuaji ni ukilema Kama ukilema mwingine,
sio kwamba wanawake wote wanajifungua kwa upasuaji lilikuwa chagua sahii kiafya hapana asilimia kubwa walipangiwa kimakusudi na madaktari na wauguzi kwa maslahi yao wenyewe.
Manesi na wauguzi wanakwepa majukumu yao ya kuzalisha wajawazito kwa njia ya kawaida, huku wakijua kwamba upande wa pili hakuna kutumia jasho huku wakijipatia posho kwa kila upasuaji wanaofanya.
Athari kwa mtoto:
- mtoto anayezaliwa anapaswa kunyonya maziwa ya mama yake ndani ya dk 30 baada ya kuzaliwa, ila mtoto anayezaliwa kwa njia ya upasuaji atasubiria kunyonya kwa muda mrefu akisubiria mama ashonewe jeraha lake hdi azinduke usingizini inachukua Kama lisaa limoja
Athari kwa mama mwenyewe:
1-mama mjamzito kabla ya kujifungua kwa upasuaji itabidi adungwe sindano ya usingizi wa kifo hadi upasuaji umalizike hili pia lina athari kiafya
2-kama utajifungua kwa njia ya upasuaji kwa ujauzito wako kwa Kwanza kibongo bongo hapa tegemea watoto wote watakaofata utajifungua kwa njia hiyo hiyo ya upasuaji.
3-mama mjamzito atabakia na makovu ya muda mrefu ya maisha yake yote na makovu haya wanasumbua sana kwa maumivu hasa wakati wa baridi
4-madhara ya matumizi ya antibiotics baada ya kufanyiwa upasuaji, madhara ya madawa haya yanajulikana na huwa wanaingia hadi kwenye maziwa ambayo mtoto huyo mchanga atakuwa ananyonya
5-muhusika anapangiwa idadi ya kuzaa mwisho watoto 3 Hadi 4, kulingana na madhara ya makovu ambayo yametokea kwenye mfuko wa kizazi.
Muhimu: serikali imekaa kimya juu ya Jambo hili kwa hiyo jiongeze kwa namna yako mwenyewe dawa za asili za kufungua njia zinapatikana kwa kila kabila msisahau maisha ya kiafrika mkakimbila maisha ya kizungu likija jambo Kama hilo unabakia peke yako wajanja wanafaidi