zugimlole
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 2,085
- 1,361
tukuhulize wewe umepereka nini?
asante mkuu tukuhulize???
tukuhulize wewe umepereka nini?
Nimeshangazwa na umati mkubwa wa raiya pamoja na wanajeshi wa jeshi la jwtz kukusanyika kwa wingi kushuhudia tukio ambalo ukweli linasikitisha ,tukio lenyewe ni bank ya exim walikuwa wanatoa msaada wa kitanda tena kimoja cha kujifungulia wajawazito, kilichonishangaza umati kama ule kushuhudia msaada wa kitanda tena kimoja kweli hari hii inasikitisha sana, tena hata star tv wamelitoa hilo tukio katika taarifa ya habari saa mbili usiku, naiyomba tuu bank hii vitu vidogo vidogo kama vile muwe mnavitoa tu kimya kimya sio lazima mpaka jeshi na saluti juu, mnadhalilisha watu
nina rafiki yangu mkenya niko nae hapa kwangu amenitembelea ameshangaa sana tanzania kitanda kimoja umati kama anakuja rais najeshi juu jamani,na saruti nyingi tuuu
Kwenye neno kiswahili umesahau kuweka nukta. Wee vipi mbona unatuharibia maandishi ya kiswahili??Raiya ndio nini? Hari ndio nini? Naiyomba ndio nini? Hivi nyinyi wakimbizi mbona hamtaki kurudi kwenu? Kwani vita si vimeisha? Ondokeni jamani mnatuharibia amani na lugha yetu adhimu ya kiswahili
hii lugha sio dili mkuuKwenye neno kiswahili umesahau kuweka nukta. Wee vipi mbona unatuharibia maandishi ya kiswahili??