Karipoti uhamiaji huyo rafiki yako mkenya? Asije kuwa ....haramu?nina rafiki yangu mkenya niko nae hapa kwangu amenitembelea ameshangaa sana tanzania kitanda kimoja umati kama anakuja rais najeshi juu jamani,na saruti nyingi tuuu
Karipoti uhamiaji huyo rafiki yako mkenya? Asije kuwa ....haramu?nina rafiki yangu mkenya niko nae hapa kwangu amenitembelea ameshangaa sana tanzania kitanda kimoja umati kama anakuja rais najeshi juu jamani,na saruti nyingi tuuu
Nimeshangazwa na umati mkubwa wa raiya pamoja na wanajeshi wa jeshi la jwtz kukusanyika kwa wingi kushuhudia tukio ambalo ukweli linasikitisha ,tukio lenyewe ni bank ya exim walikuwa wanatoa msaada wa kitanda tena kimoja cha kujifungulia wajawazito, kilichonishangaza umati kama ule kushuhudia msaada wa kitanda tena kimoja kweli hari hii inasikitisha sana, tena hata star tv wamelitoa hilo tukio katika taarifa ya habari saa mbili usiku, naiyomba tuu bank hii vitu vidogo vidogo kama vile muwe mnavitoa tu kimya kimya sio lazima mpaka jeshi na saluti juu, mnadhalilisha watu
Umefanya siku yangu nimalize vizuri.Nilipokuwa nafanya kazi
katika moja ya wilaya za mkoa wa Mtwara nilishuhudia NMB wakitutia
hasara kwa kutufadhili vyandarua sitini lakini sisi tuliandaa shughuli
ya mapokezi kwa zaidi dhamani ya msaada huo.
Kilichofanyika ni kwamba mwakilishi wa NMB makao makuu Bi Shayrose
Banji alitufanya tuamini kwamba msaada ule ulikuwa ni mwanzo tu kwani
kungekuwa na misaada zaidi.Lakini hakuna misaada zaidi tuliipata baada
ya hapo.
Kwa hiyo tuliandaa vikundi vya ngoma kwa ajili ya kutumbuiza kwenye
shughuli hiyo.Nilipopiga hesabu nikagundua kuwa pesa tuliyotumia
ingeweza kununua vyandarua zaidi ya vile tulivyopewa ambavyo vilikuwa
kama vya thamani ya laki tatu wakati huo.
tukuhulize wewe umepereka nini?watz hamkosagi la kusema. msiposhukuru kwa kidogo hata kikubwa hamtokipata! unashangaa kitanda kimoja wewe umewahi kupeleka nini?
umekufa kweli wewe kiswahili lugha gani,ukitaka ujue lugha ya kijinga mahakama ya uharifu wa rwanda ilikuwa arusha tanzania ila katika lugha zilizotumika pale zote ujuazo mpaka kiarabu kiswahili marufuku,mahakama ipo tz hapoo, uganda ni lugha ya Watu wahuniRaiya ndio nini? Hari ndio nini? Naiyomba ndio nini? Hivi nyinyi wakimbizi mbona hamtaki kurudi kwenu? Kwani vita si vimeisha? Ondokeni jamani mnatuharibia amani na lugha yetu adhimu ya kiswahili
umekufa kweli wewe kiswahili lugha gani,ukitaka ujue lugha ya kijinga mahakama ya uharifu wa rwanda ilikuwa arusha tanzania ila katika lugha zilizotumika pale zote ujuazo mpaka kiarabu kiswahili marufuku,mahakama ipo tz hapoo, uganda ni lugha ya Watu wahuni
aina cha mbumbumbu mkuu najaribu kukupa picha tu ilivyo usikae ukacherewa na lugha yako ukajua ndio kumbe sio,lugha yako iyo hapo kwenu tu nje unachekesha wanguKumbe wewe ni zigo la mavi, kwa hiyo hicho kifaransa na kiingereza ndo lugha zako? mbumbumbu ni mbumbumbu tu.
aina cha mbumbumbu mkuu najaribu kukupa picha tu ilivyo usikae ukacherewa na lugha yako ukajua ndio kumbe sio,lugha yako iyo hapo kwenu tu nje unachekesha wangu
madogo yana afadhali!! kitanda kimoja tu!
mkuu umestaharabika point tupu nami zimeniingiaInawezekana ikawa ni vitu vidogo kwako wewe mkuu...mkeo anajifungulia Hindu mandal chini ya uangalizi wa madaktari zaidi ya kumi....lakini kwetu sisi wake zetu wanapojifungulia sakafuni na vichakani chini ya uangalizi wa bibi yake au wakati mwingine chini ya uangalizi wa mwanae...hii ni zaidi habari njema kwetu.....
BINADAMU HATUPO SAWA...
madogo yana afadhali!! kitanda kimoja tu!
hata kikiwa cha kujifungulia wakina mama thamani yake akiwezi kukusanya umati vileWakuu, kwani hicho kitanda thamani yake ni shs ngapi? Je ni cha kawaida au ni kile cha kujifungulia akina mama? Kwanza tujue hayo.
Wakuu, kwani hicho kitanda thamani yake ni shs ngapi? Je ni cha kawaida au ni kile cha kujifungulia akina mama? Kwanza tujue hayo.