Hii ya kugharamia msiba iko siku itabuma tu, anzeni kutafuta mbadala!

Nisichoelewa ni wapi walipo wale polisi 6 tulioambiwa wamekamatwa kwa mauaji ya Akwilina?

Polisi hewa.
Na hao waliompiga na kumuua huyo kijana wako wapi. Au siku hizi kugharamia mazishi ndio njia mpya ya utoaji wa haki?
 
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Mbeya ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya hiyo, William Ntinika amefunguka na kuweka wazi kuwa serikali itagharamia mazishi ya kijana Alen Achiles (20), aliyefariki muda mfupi baada ya kutoka polisi.

Mkuu wa wilaya huyo ambaye alifika nyumbani kwa wazazi wa marehemu na kutoa rambirambi ya laki mbili na kuahidi kuwa serikali itagharamia mazishi ya kijana huyo ikiwa pamoja na kukodi gari la matangazo pamoja na chakula

Serikali haipaswi kuishia hapo inapaswa kutoa adhabu kali kwa wahusika, na pia kuangalia upya njia mbadala wa kufanya operation zake bila kuathiri maisha ya watu,

Inauma kama mzazi au ndugu wa mtu kupotea alafu majibu ni kwamba watagharamia.mazishi,

View attachment 727392
Mkuu kuwa mpole "hapa kazi tu" ni kuua kwa kwenda mbele maana mhutu kapewa kiti cha enzi cha Tz! huyu jamaa ana kiu kubwaaaaaaaaaaaaaa ya damu za watu!!
 
Nisichoelewa ni wapi walipo wale polisi 6 tulioambiwa wamekamatwa kwa mauaji ya Akwilina?

Polisi hewa.
Na hao waliompiga na kumuua huyo kijana wako wapi. Au siku hizi kugharamia mazishi ndio njia mpya ya utoaji wa haki?
Hao usiwe na wasiwasi nao
 
Watu wa mbeya wamegoma kuzika mpaka waliokamatwa waachwe na hakika wamepewa dhamana.Nahisi akishazikwa siku wanaripoti watagomewa dhamana.
 
Back
Top Bottom