Hii ya Juma Pinto Inatisha

mhhh......
huku wengine tunavuliwa had viatu ***** walahi

Pole kaka ila haya mazaga ya kuvuliwa viatu mpaka mtu anakuuliza swali moja mara 3 kua umekuja huku kufanya nn?Unampa jibu zaid ya mara 3 bado mtu ana mashaka na wewe.Haya yote yamefanywa na watu wachache ila Mungu wetu bado anaishi na atalipa yote hayo.Wanadamu hatuwezi ila Mungu anaweza yote
 

Mkuu unanifanya nionekane chizi maana nimecheka.
 

Asante yani unapigwa sachi kma umemuibia mke
 
Mkuu pole sana, ninacho kushauri siku nyingine ufumbe macho ili usione kila kitu kinachofanywa hapa nyumbani,unaweza kufa kwa kihoro. We hayaa weee.

Duh! kumbe wanaoguswa ni kina Sitty tu, wenyenchi ukiwagusa unapotezwa!
 

pole sana ila one day yes!!!
MUNGU huyu huyu km si kwake ht kwenye damu yake
 

aisee yaani hii nchi
 

Unga noma namkumbuka Juma Pinto tuko pale DIT tunasoma wanakuja kufanya mazoezi na timu yao ya TASWA wamechoka yeye na kitenge wanagongea nauli kwa wanafunzi kurudi majumbani kwao mbagala leo unga umempa diplomatic status?
 

Dah nakumbuka siku moja natoka dar kuja mwanza nikiwa na family.mtoto wangu alikua amevinjika mguu hivyo alikua amefungwa POP (muhogo), kww kweli walimisumbua saana jamaa hawa maana kila alipopitishwa mtoto kengele ililia tuuui.dah kweli tabu.
 
Wana jf napmba kuuloza hivi kuna uhusiano gani kati ya POP (hogo) na dawa za kulevya (sembe/unga/ngada)? maana myu mwenye PoP apitapo pale langoni lazima kengele ilie.
 
Mkuu pole sana, ninacho kushauri siku nyingine ufumbe macho ili usione kila kitu kinachofanywa hapa nyumbani,unaweza kufa kwa kihoro. We hayaa weee.
Principle ya See Nothing, Say Nothing!
Yaweza kuokoa maisha yako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…