Hii ya Juma Pinto Inatisha

Imeandikwa tangu enzi kuwa ndege wa rangi moja............
 
ukimgusa huyu umemgusa jk himself...huyu,riz1,kinje ni big time yayo dealers..they push weight.
His days are numbered,labda apae kwenda Mars! Za mwizi ni arobaini.Matambo ya Ritz nayo yatakoma very soon. Hakuna aliye juu ya sheria na hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho.Uovu una mwisho.
 
Huyu ipo siku tu mtasikia kaangukia pua, kuna hela za maliasili na utalii/TanzaniaTourist Board walitafuna, lazima mtasikia wanazitapika....
 
Huyu bwana ashalalamikiwa sana,acha hilo la uwanja wa ndege,kuna mengi mabaya yanayomuhusu tumeshayajadili humu! Watu wa usalama wapo na wanaona! Ni suala la muda tu..yataisha yote haya!
Bila shaka ana hsli ngumu
 
Dah πŸ˜†
 
Juma Pinto ni owner wa magazeti ya Jambo Leo na ndiyo wenye ule mzigo mzito alioshikwa nao Masogange kule South Africa lkn serikali ikaiingilia kati, mzigo ukaruhusiwa. Nchi imekwisha hii
Duuuh!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…