Hii ya Juma Pinto Inatisha

kwa jinsi unavyotirirka,utamtaja na Magufuli tu.
Kwa Mujibu wa Makonda,urodha yake haikutoka mbinguni,ni wenyewe kwa wenyewe wanatajana,yeye anafanya uchunguzi wa awali kabisa,ndio anaamuru ufike kituoni.Hawezi kurukia watu tu hovyo
 
Juma Pinto ni owner wa magazeti ya Jambo Leo na ndiyo wenye ule mzigo mzito alioshikwa nao Masogange kule South Africa lkn serikali ikaiingilia kati, mzigo ukaruhusiwa. Nchi imekwisha hii

Uyu Masogange ndie aliepangiwa nyumba na makonda?
 
Hii thread ni ya mwaka 2014 na wanao tajwa hapo ni wale wanao lalamikiwa sana rizi moko, masogange na juma makonda unaonesha upendeleo au nawewe unahusika
 
Na makonda akija juu na kukemea haya mwaja juu?!!
 
Ngoja aje lemutuz hapa utamsikia anaanza kumtetea bwana wake maana ndiyo kampangishiwa chumba posta na huyo pinto
 
Unasemaje? Kwahiyo Lemutuz ni muuza unga? Mbona hawajaitwa na Makonda.
Ha ha ha...jukwaa la JF limejaa habari za urafiki wao...
Actually Le Mutuz ndo anatamba kuwa ni rafiki wa Makonda....ila sijawahi sikia Makonda...
Hebu ngoja tufungue jicho [emoji12]
 
Tutofautisheje kati ya uzushi na propaganda...? Weka picha angalau tunaweza kukuamini.
 
Na
nakukubali mno,sijawai kukuona ukitoka nje ya mstari tangu nikujue.Nyie ndio uzao wa Marehemu Ng'wanakilala,keep the spirit maaan.
Sana tena umenikumbusha mwalimu wangu dah r.i.p
 
Juma Pinto jamaa kilaza mmoja mwenye mafanikio yasiyofahamika ...balaaaah
Yani jamaa kwa mwonekano,na uandishi wake unaweza hisi ni kilaza mmoja ivi lakini mafanikio na dili anazopiga speak otherwise
 
Cc makonda na Mwigulu Nchemba
Hao nao waongezwe kwenye list.Ndugu zetu wanaangamia na madawa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…