Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,364
nadhani baada ya waliomfuatia wengi kutangulia mbele za haki, wengi walichomoa hicho kiti, labda nitahsauri kuwe na Rais badala ya Mwenyekiti
Kuuza bila kuzalisha m badala! hii imekaaje?
ni kweli iwe, mjanja sana huyu tangu atafune mamilini ya wachezaji wa stars akiwa fat sina imani naye tena
utakua Yanga wewe........mifano yao mingi ni kwa wanawakeUsiogope pesa kwanza mengine baadae. Hakuna kung'ang'ania mwanamke wakati hela huna utaumizwa.
ni kweli umenikumbusha, kuna mchezaji anaitwa KP. Mkapa alichana jezi zake zote baada ya tukio lilesio pesa Za wachezaji wa Stars pesa za Yanga za ushiriki wa Ligi ya Mabingwa afrika 1998 yeye na Mwenzie Ndolanga
nilienda mbali sana lakn mizengwe pia ilitawala halafu ana kundi lake pale simba, mkutano uliopita nilikua na hoja ya kikatiba ya kuvunja mkutano na hakunipa nafasi tena................cha msingi atimize ahadi zake zote ikiwa ni npamoja na kukarabati jengo na uwanja wa bunju ambap tulichanga na pesa ikatimia palepalecjakuelewa..bro..mie nimezungumzia uchaguzi uliomuweka madarakani..
Ndio jembe lililoongoza kununua wachezaji wabovu,yeye kama Mwenyekiti wa usajili ndio alinunua/alishauri klabu kununua wachezaji magarasa kama Salim Kinje,Lino Musombo,Daniel Akuffor,Pascal Ochieng,Redondo,Keita,Kigi Makasi,Abdalah JumaHanspope ndio jembe Simba ndio maana hata Rage alimng'ang'ania
blue...kumbe we ni mwanachama halali wa simba eeh safi sananilienda mbali sana lakn mizengwe pia ilitawala halafu ana kundi lake pale simba, mkutano uliopita nilikua na hoja ya kikatiba ya kuvunja mkutano na hakunipa nafasi tena................cha msingi atimize ahadi zake zote ikiwa ni npamoja na kukarabati jengo na uwanja wa bunju ambap tulichanga na pesa ikatimia palepale
kazi ya Kaburu hii kiongozi, siri hii tuachie wenyeweNdio jembe lililoongoza kununua wachezaji wabovu,yeye kama Mwenyekiti wa usajili ndio alinunua/alishauri klabu kununua wachezaji magarasa kama Salim Kinje,Lino Musombo,Daniel Akuffor,Pascal Ochieng,Redondo,Keita,Kigi Makasi,Abdalah Juma
Hans anashughulika na nini? Yeye ndio mwenyekiti wa kamati ya usajili wa Simba hata Mrisho Ngasa yeye ndio alitoa hela kumsanisha
Kaburu alikuwa Makamu Mwenyekiti wa klabu Hans Pope ndio Mwenyekiti wa kamati ya usajili na wakati mwingine ndio anatoa pesa kusajili wachezaji yeye hata kuja kwa Liewig ndio alihusika kumuondoa Milovankazi ya Kaburu hii kiongozi, siri hii tuachie wenyewe