Hii ya Amri Kiemba imekaaje?

Hans anashughulika na nini? Yeye ndio mwenyekiti wa kamati ya usajili wa Simba hata Mrisho Ngasa yeye ndio alitoa hela kumsanisha

wanasaidiana...ila wote wamehusika kuleta wachezaji wabovu...kama hizo picha za juu zinavyoonesha..
na kwa sababu wanatoa hela zao mfukoni basi hata mchezaji hajamuona wanasajili tu...
 
Rage ni tatizo kwa simba maana amekalia siasa tu.
Bora ya dalali japo hakwenda shule lakini alikua mtu wa mpira.!!
 
Kasaini Simba bwana 2yrs contract tena kwa 35Mil,,baada ya kubembelezwa sana Kiemba alikua anataka 38Mil...
Na mshahara wa 2Mil per month..!
Sent from my BlackBerry Z10 using JamiiForums
 
Soka kumbe linalipa, ngoja na mimi nianze kujifua labda nitasajiliwa hata na Mbanga FC.
 
Hahaha!!!Talent unayoo??Jaribu siasa mkuu..kimtindo inalipa zaidi ya soka la bongo

Habari ni za kweli kaka? Source? Maana hawa yanga wanausumbufu sana kwenye usajili aisee!
 
Soka kumbe linalipa, ngoja na mimi nianze kujifua labda nitasajiliwa hata na Mbanga FC.
waone Seleman Matola na Amri Said pale Msimbazi wakupe ma-technique mwisho unaweza ukaja ukatuokoa kwani ninavyokujua mara baada ya kupata training ya kutosha unaweza kumudu nafasi kama tatu uwanjani(Beki wa kati, Kiungo Mchezeshaji, na Mshambuliaji wa kati).
 
Kasaini Simba bwana 2yrs contract tena kwa 35Mil,,baada ya kubembelezwa sana Kiemba alikua anataka 38Mil...
Na mshahara wa 2Mil per month..!
Sent from my BlackBerry Z10 using JamiiForums

Mnapesa hiyo ya kumlipa? Au mmemkopa? Kocha Lewig anawadai mil.17 mpaka kesho hamjampa alafu Kiemba mmpe 35m?
 
waone Seleman Matola na Amri Said pale Msimbazi wakupe ma-technique mwisho unaweza ukaja ukatuokoa kwani ninavyokujua mara baada ya kupata training ya kutosha unaweza kumudu nafasi kama tatu uwanjani(Beki wa kati, Kiungo Mchezeshaji, na Mshambuliaji wa kati).
Tatizo unaweza kuwa na akili ya mpira ila mwili sasa hautaki, inakuwa hakuna synchronization kati ya akili na miguu.
 
Kaseja nasikia anaelekea Azam. Anyway yote Heri!, inawezekana labda Simba tumeamua kufuata nyayo za Wenger za kufufua vipaji: ila sijui kama hii inakaa vizuri kwa soka letu la kibongo.

Acha waondoke tu. Kwani wameifanyia nini Simba msimu ulioisha. Mbona Ronaldo aliondoka Man U sembuse Kiemba, Ngasa na Kaseja....Tupa kuleeeeeeeeee...
 
Hahaha!!!Talent unayoo??Jaribu siasa mkuu..kimtindo inalipa zaidi ya soka la bongo

Sent from my BlackBerry Z10 using JamiiForums

Hapo sasa, ila nikijifua sana, sema tatizo umri maana unaweza ukatraini ukajikuta uko vizuri kabisa kichwani jinsi ya kupokea pasi na kumpa mwenzio namna nzuri ya kukaba na kujiposition ili ufunge halafu ukijaribu kwa kutumia mwili unakuta viungo vinagoma. Siasa nayo tabu tupu maana huchelewi kupelekwa kwa waganga ili ufanikiwe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom