Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,142
- 13,216
MIA kabisa, alikua hajanisoma mdauHapo Mkuu umenena, enzi za kutajataja Afrika Mashariki na Kati zimekwisha, sasa tuzungumzie Afrika kama jina letu na baadaye Dunia, Inshaallah.
MIA kabisa, alikua hajanisoma mdauHapo Mkuu umenena, enzi za kutajataja Afrika Mashariki na Kati zimekwisha, sasa tuzungumzie Afrika kama jina letu na baadaye Dunia, Inshaallah.
Kumbe yule Malkia wa nyuki ni mbwembwe tu lakini haweki mafungu kwenye timu?
Ngoja tusubiri mkuu, maana mchezaji mwenyewe bado hasomeki vizuri...kuna wakati alitikisa kiberiti Simba kwa habari zake kuzagaa kuwa kasaini Jangwani lakini baada ya siku mbili, kaka yake ambaye ndiye meneja wake akawa kama anataka kufanya mazungumzo na Simba kwa dau zuri.
Kitu kizuri ni kuwa Kiemba nadhani alishamaliza mkataba na Simba na sasa yupo huru muda ambao kiwango chake kimekuwa kizuri zaidi...
ni kama anarudia matapishi yake...............lakn usisahu maslahi pia, halafu hata yeye alicheza kimapoenzi sana mechi yetu ile naweza kusema KULIKO HATA NGASSA Macdakienda yanga nitamshangaa sana, si alikuwa huko yanga akatimuliwa eti kiwango chake kidogo, simba wakampa nafasi, wakamtrain sasa kiwango kimerudi anataka kurudi huko alikotimuliwa?? ushauri wangu dogo atulie simba tumtafutie timu nje akienda yanga asahau kwenda nje
Dah, unaua Watu8 hufanani na Yanga kabisaHahahah...mkuu mimi ni mdau wa wanaJangwani, lakini hili la Kiemba kusaini kwetu sitaki kulishadadia sana maana bado ni tetesi
sera ya simba nikuuza wachezaji kama unataka kuuzwa nenda simba so mkuu usishangae sana ndio ipo hivo..
ni kama anarudia matapishi yake...............lakn usisahu maslahi pia, halafu hata yeye alicheza kimapoenzi sana mechi yetu ile naweza kusema KULIKO HATA NGASSA Macd
nafurahi umekubali kwamba ni MATAPISHIMourinho karudia matapishi, Kibadeni naye vivyo hivyo; sembuse Kiemba! Wewe vipi Mkuu?
Hata suala la Yondani kuna wajanja waliliyumbisha sana, asubuhi akaahidiwa m 25 na Kaburu, mchana anamoigia simu Kaburu haoatikani, Yanga wakaja na 30 (penye udhia penyeza Rupia) nadhani kuna namna ameyumbishwa na madau
Dah, unaua Watu8 hufanani na Yanga kabisa
amina amina aminaYote kheri tupu
infact, Millovan ndiye aliyemrudisha kiwango, Simba walikua wamtoe mkpo akagoma nikawa nafanya naye tizi kinesi na maveteran.........................baadaye akamng'arishaKiwango chake cha miezi ya karibuni tokea aanze kuaminiwa na Poulsen ndio kimemrudisha tena kwenye chati...ninaamini timu yoyote kati ya Yanga au Simba itakayopata huduma yake basi watakuwa wamelamba dume...
mh..............hiyo siyo ya kuweka hapa but uko very analytical kama watu wa Simba, Yanga wengi wako emotional, while Simba wako Rational sidadavui sana.........Kwani watu wa Yanga wapo vipi mkuu?
huu ndio ukwelisimba kwa sasa hakuna pesa ndio maanaa wanapata shida kwenye usajili
mh..............hiyo siyo ya kuweka hapa but uko very analytical kama watu wa Simba, Yanga wengi wako emotional, while Simba wako Rational sidadavui sana.........
Simba kwa sasa Hakuna pesa ndio maanaa wanapata shida kwenye usajili