Mkuu Dotworld kwa kuziona hizo wazi huenda mimi macho yangu yakapofuka maana nitakuwa kama vile chizi...... Uuuuwiii mamayake aliye mzaa bibi yangu .............. Waswahili husema Nzi kufia kwenye kidonda huwa ni halali yake............. Mkuu Dotworld ni wapi huko niende?MziziMkavu ukipatia .. utapewa ruhusa ya kuchagua mmoja!
Hawa haya ndio maisha yao ya kila siku! ... mpaka leo
Mkuu Dotworld kwa kuziona hizo wazi huenda mimi macho yangu yakapofuka maana nitakuwa kama vile chizi...... Uuuuwiii mamayake aliye mzaa bibi yangu .............. Waswahili husema Nzi kufia kwenye kidonda huwa ni halali yake............. Mkuu Dotworld ni wapi huko niende?
Hao ni Chiquito kama sikosei. RED INDIANS wanaabudu jua.
Wakuu Tram Almasi & MziziMkavuJamaa analinda mali zake kwa blow gun co? Hapana chezea mali zake! Inca tribe?