Hii kitu inasababishwa na nini? Au ni kuchanganyikiwa

Kisayansi tunaita reincarnation-rebirth of a soul in another body

Yaani kwamba wewe ulishawahi kuishi kwenye hii dunia ukafariki, then ukazaliwa upya katika mwili mwingine lakini nafsi/soul ni ile ile

Kwahiyo kuna matukio/sehemu ambazo ulishawahi kuziona zinajirudia rudia

Na reincarnation wanasema inatokea baada ya 100years+ kwahiyo mkuu kuna uwezekano wewe ulishakufaga miaka 100 na zaidi iliyopita ila roho yako haikufa ime-transfer kwenye mwili mwingine.
 
Hivi jamani hii hali ya kwenda sehemu ukahisi kabisa hiyo sehemu ulishawahi kufika lakini hukumbuki ni lini lakini unaona kabisa Yale mazingira si mageni, sehemu siyo ngeni kwako.

Au unaona tukio unahisi kabisa hilo ushawahi kulishuhudia ni Mimi tu jamani?
Umri.
 
Ni uhakika kwamba tulishawahi kuishi kwenye dunia hii kabla ya kuzaliwa.
MTU NI ROHO YENYE NAFSI( PUMZI YA MUNGU) INAYOISHI KWENYE MWILI.
 
Hiyo ni issue ya kisaikilojia Inaitwa "Deja vu"
I. Deja vu ("nakumbuka hii sehemu bhana")
Deja Vu, huonekana pale mtu anapokuwa anahisi ameshawahi kufika eneo fulani ambalo hajawahi kuwepo (eneo jipya au geni) au anahisi anakumbuka jambo fulani lililotokea mahali hapo
Mfano; unaweza pita eneo geni ukahisi kama Ulishawahi kupita eneo Hilo hapo awali

II. Jamais Vu ("Ah sijawah ona hii kabisa")
Hii ni Kinyume cha Hali ya "Deja vu" ni "Jamais Vu"
Jamais Vu ni changamoto ya akili kutafsiri, ambapo mtu anakuwa hakumbuki chochote kabisa kuhusu jambo fulani au mazingira ambayo alishawahi kukutana nayo nyakati zilizopita.

Mfano; Mwanafunzi anaweza kujifunza/kusoma mada fulani (topic) lakini akikutana nacho tena hakumbuki kabisa kama alishawahi kujifunza au kukisoma tena Anaweza kumruka mwalimu futi 100 kuwa hajawahi kufudisha kabisa.

III. Presque Vu ("hmm!! Hebu nikumbushe kidogo")
Sambamba na Hali hizo mbili Kuna nyingine ya Kati Kati Yao Inaitwa ; Presque Vu hali au hisia Ambapo mtu anahisi anakumbuka jambo Kwa mbali. Yan kama idea inakuja Kuna hivi halaf inamkataa.

Mfano; mtu anakumbuka jambo Kwa mbali Sana, halaf akidokezwa kidogo anapata kumbukumbu nzima, ndiyo Ile unasikia mtu Anauliza
Mtu 1; "Hivi kile kinanihii, kidude cha kupigia picha huwa kinapaa, halaf kinaendeshwa na remote kinaitwaje vile...?
Mtu 2; Kile wanakiita "drone"
Mtu 3; Enhee ... drone....ndiyo hicho hicho!
 
Attachments

  • d2674eacb65f9e319897f1a947088243.jpg
    d2674eacb65f9e319897f1a947088243.jpg
    63 KB · Views: 1
Kuna theory inasema mtu akifa huzaliwa upya na mwili mpya ila roho ile ile,nadhan ata wabudha wanaamini kwenye hii kitu
 
Hivi jamani hii hali ya kwenda sehemu ukahisi kabisa hiyo sehemu ulishawahi kufika lakini hukumbuki ni lini lakini unaona kabisa Yale mazingira si mageni, sehemu siyo ngeni kwako.

Au unaona tukio unahisi kabisa hilo ushawahi kulishuhudia ni Mimi tu jamani?
Hii ni Dejav'u ni Ugonjwa wa akili.
 
Kisayansi tunaita reincarnation-rebirth of a soul in another body

Yaani kwamba wewe ulishawahi kuishi kwenye hii dunia ukafariki, then ukazaliwa upya katika mwili mwingine lakini nafsi/soul ni ile ile

Kwahiyo kuna matukio/sehemu ambazo ulishawahi kuziona zinajirudia rudia

Na reincarnation wanasema inatokea baada ya 100years+ kwahiyo mkuu kuna uwezekano wewe ulishakufaga miaka 100 na zaidi iliyopita ila roho yako haikufa ime-transfer kwenye mwili mwingine.
Babekii..
 
Hivi jamani hii hali ya kwenda sehemu ukahisi kabisa hiyo sehemu ulishawahi kufika lakini hukumbuki ni lini lakini unaona kabisa Yale mazingira si mageni, sehemu siyo ngeni kwako.

Au unaona tukio unahisi kabisa hilo ushawahi kulishuhudia ni Mimi tu jamani?
Ndotoni au'!?
 
Back
Top Bottom