Elections 2015 Hii 'Vox Populi' ni 'Vox Dei' Kuhusu 'Jiwe Walilolikataa Waashi'?

Ilikuwa miezi hatimae kuanzia jana tunaanza kuhesabu wiki kuelekea siku ya tukio, kuna nyuzi nyingi sana uchaguzi huu nitazitumia kama rejea kutokana na kile kinachotokea na kile kilichoandikwa
 


12106903_964792400254016_9158659312665542855_n.jpg


10351090_964790603587529_6065844831866683111_n.jpg



12144783_964790630254193_8744875828848306342_n.jpg



12109025_964790683587521_5134810847886892766_n.jpg



12063386_964790756920847_4976986752234846082_n.jpg


12096202_964790780254178_4882639475238342995_n.jpg


12039416_964790886920834_2168884556985765234_n.jpg


12096095_964790943587495_8695356936509211303_n.jpg



12141549_964790956920827_6867227865555305126_n.jpg



10409445_964791106920812_2528408995882106169_n.jpg


12088433_964791176920805_8758099560288072548_n.jpg


11224017_964791293587460_5080040664552764608_n.jpg


12115772_964791350254121_2537613761137616019_n.jpg


12141698_964791426920780_5657479280145916735_n.jpg


12115772_964791480254108_5028276089204841507_n.jpg


12109080_964791660254090_1512740874039274510_n.jpg


11224427_964791690254087_5289813430907028035_n.jpg


12088594_964791726920750_9015165099056214746_n.jpg


12109088_964791763587413_6390797573699670480_n.jpg


12043044_964791796920743_7195069803890103641_n.jpg


12036983_964791866920736_1932134242679425657_n.jpg


12079558_964791896920733_1070645762122155605_n.jpg


12106900_964792100254046_7228841082302020027_n.jpg


12096584_964792143587375_1811606252901836210_n.jpg



12096524_964792163587373_7798264294336837339_n.jpg


12141698_964792266920696_4466068340814153838_n.jpg


12122921_964792310254025_5048042750580427757_n.jpg



12107200_964792446920678_638669069828713527_n.jpg


12105782_964792646920658_2587477611906478375_n.jpg


12075001_964792670253989_8309358629451911926_n.jpg




12143133_964792776920645_7087770086550016758_n.jpg



Vox Populi Vox Dei inaendelea!.
Leo ni .....

P.
 
Pictures speak louder than words....
Ukimwonesha mtu hizi picha huhitaji weka neno lolote lile la kumwambia
 
Mgombea urais kupitia tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa ametikisa mji wa Musoma Mjini Leo kwa kufanya mkutano mkubwa wa historia katika viwanja vya shule ya msingi Mkendo!

Tazama picha mbalimbali ya mkutano huo.

Hatareeeeee, sina maneno mengi, sema mwenyeweeeeee!!!

View attachment 297627View attachment 297628
View attachment 297659
View attachment 297629View attachment 297630View attachment 297631View attachment 297632View attachment 297633View attachment 297634View attachment 297636

Siongei tena
.............................................
 
leo alhamisi october 15, mgombea urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania kwa tiketi ya chadema ndugu edward lowassa anayeungwa mkono na vyama vya ukawa ameitikisa vilivyo sengerema.

Shughuli za kijamii mjini humo zimesimama kwa zaidi ya saa nane huku shamra shamra ambazo hazijawahi kushuhudia mjini humo tangu uhuru wa tanganyika zikishika kasi.

Lowassa amesema kuwa ataunda serikali itakayojikita kuondoa umasikini na kutokomeza rushwa.

Sehemu ya maelfu ya wakazi wa mji wa sengerema wakiwa viwanja vya mnadani leo kusikiliza sera za edward lowassa.

View attachment 299219View attachment 299220
View attachment 299225
View attachment 299221View attachment 299222View attachment 299223View attachment 299224
.................

p.
 
With just 7 days to come, hakuna kipya cha kuwaambia wanabodi, bali ni kukumbushana tuu, tulisema nini, nini kimefanyika, nini kinafanyika sasa, na nini kitafanyika hizo siku 7 zijazo, yaani tarehe 25 October, lets not let CCM to fool all the people all the times!.

kiukweli kabisa, sioni jinsi yoyote ya CCM kushinda tena!, Chadema inakwenda kuchukua nchi kiulaini kabisa kama imeokota!, yaani CCM inakwenda kuanguka chini kiulani kabisa kama kumsukuma mlevi!.

Lakini ili hili litimie, ni lazima kila aliyejiandikisha, ajitokeze hiyo tarehe 25, aende kupiga kura na kumchagua Edward Lowassa!.

If "Together wa can!", and "United we Stand", "Victory is ascertain!"

Nawatakia Jumapili njema!.

Pasco







 
Pamoja sana mkuu pasco ingawa Sijajiandikisha lakini nimepata ccm wa kumpigia lowasa kwa niaba yangu
 
Huku hapatoshi. Mambo yamekuwa mambo. Watu wanamiminika vibaya mno. Hakuna wasanii. Hakuna kusombwa na malori.

Makamanda mlioko huku tusaidiane kutoa updates.

Mapicha na upsates zingine kufuata.
View attachment 300286
attachment.php

Mkutano huu Unarushwa live na ITV, AZAM TV, vilevile unaweza kusikiliza kupitia Radio One

Mbowe akihutubia

Lowassa akihutubia

Sumaye akihutubia

[h=3]Hii 'Vox Populi' ni 'Vox Dei' [/h]Pasco
 
Last edited by a moderator:
Kila kitu kiko wazi kabisa kwa sasa. Ni muda tu ufike ili wale wenye mioyo ya Farao au wenye imani za Thomaso nao waamini kwa kuona.
Ushindi wa Lowassa na UKAWA ni jambo la WAZI NA HAKIKA kabisa tarehe 25/Oktoba/2015.

Kuanzia Lubuva, Kikwete mpaka Magufuli, wote wanajua wazi kabisa kwa sasa kuwa MABADILIKO hayawezi tena kuzuilika, nina uhakika wanajitutumua tu ili kukwepa kutupiwa lawama kutoka kwa wafuasi wao ambao baadhi yao wapo wanaodhani kuondoka kwa CCM madarakani ni tukio la kuitikisa Dunia, wakati ni tukio la kawaida kabisa katika siasa.
 
With just two days to go, there is nothing new to say, yote yameishasemwa, sasa imebaki kukumbushana tuu, tulisema nini, nini kimefanyika, uchaguzi ndio keshokutwa Jumapili, nini kitafanyika siku hiyo, na baada ya hapo, tukutane tena wiki ijayo, au tupongezane, au tupeane pole!.

Nchi hii inaweza tuu kubadilishwa kwa watu wenye uthubutu wa kuchukua maamuzi magumu, na kusimama wahesabiwe!.

I'm very proud kuwa ni mmoja wa wapiga kura hiyo Jumapili.

Haya shime kwa wote waliojiandikisha, tujitokeze kwa wingi, tuitumie haki yetu ya kidemokrasia kujichagulia viongozi wetu,

We have to choose our leaders and love our choices and live with or without!.

Pasco
 
Baada ya Edward Lowassa kusifiwa na rais Magufuli kuwa ni Superman, namdurufu kidogo Lowassa kwa kujikumbusha niliwahi kusema nini kuhusu mtu huyu.
P
 
Tegemeo pekee la ccm ni watu hopeless kama Dr Mahera wa Nec.

Otherwise ccm ijiandae kukabidhi madaraka kwa Tundu Lisu hali halisi huku site siyo nzuri

Hata mimi nilikuwa naamini Magufuli anashinda bila tabu uchaguzi huu, but/lakini hii momentum of Tundu Lisu amegeuza upepo na unavuma upande wake na analitawala jukwaa na wananchi wanamwelewa.
Mkuu Matola , kiukweli, napenda sana watu wanao argue objectively kwa facts kama wewe kuwa hali halisisite sio nzuri!, kwasababu hii momentum of Tundu Lisu amegeuza upepo na unavuma upande wake na analitawala jukwaa na wananchi wanamwelewa.

Sijui ni members wangapi humu jf wamewahi kushiriki uchaguzi wakiwa front, huo upepo usikuzuzue ukidhani ni ushindi, hayo makundi ya watu kwenye mikutano ya mijini, sio kura, kura halisi za ushindi ziko vijijini ambako mgombea wenu ameshindwa kufika.

Kitu ambacho nakikubali kuhusu TL ni mzuri kuongea na analimiliki jukwaa, tena kwa msiojua, mimi ni miongoni mwa tulioshauri
Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Ushindi wa uchaguzi sio wingi wa watu kwenye mikutano ya kampeni ya mijini!.
Subiria hiyo tarehe 28, utashangaa na hutaamini kitachotokea, sasa ili kuzuia kelele za kuibiwa kura,
nimeshauri
Uchaguzi 2020 - Ili kuondoa kelele za kutotendewa haki, nawashauri CHADEMA na ACT wekeni Mawakala kila Kituo ili kujiridhisha, Uchaguzi Mkuu ni huru na wa haki

Kama ushindi ni makundi ya watu, saa hizi EL ndie angekuwa ikulu!.
Kama kipimo cha ushindi ni idadi ya watu, Lowassa ndiye rais wetu

Elections 2015 - Hii 'Vox Populi' ni 'Vox Dei' Kuhusu 'Jiwe Walilolikataa Waashi'?

P
 
Wanabodi,

Habari za Jumapili.

Jumapili ya leo, naomba tutafakari kwa pamoja msemo huu wa lugha ya Kilatini kuwa "Vox Populi is Vox Dei"
ukimaanisha "Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu!", au "Kauli ya wengi ni kauli ya Mungu", ikimaanisha "Chaguo la wengi ndilo Chaguo la Mungu!".

Huyu mwamba alikuwa ni mtu wa watu enzi za uhai wake, jee hata sasa kifoni jee hii Vox Populi itaendelea hadi kifoni?.

Naendelea na My Tribute to this fallen hero, Mwamba wa Kaskazini, kwa kujikumbusha baadhi ya mabandiko yangu kumhusu shujaa huyu mpaka siku atakapo pumzishwa kwenye makao yake ya milele, let's celebrate the life and the times of Edward Lowassa.

RIP Shujaa Laigwanani Comred Edward Ngoyai Ole Lowassa,
Umepigana vita vilivyo vitakatifu, imani umeilinda.
Bwana alileta
Bwana ametwaa,
Jina Lake Lihimidiwe!.

Paskali
 
Back
Top Bottom