Elections 2015 Hii 'Vox Populi' ni 'Vox Dei' Kuhusu 'Jiwe Walilolikataa Waashi'?

Kwa bla bla bla za leo' tukimpa nchi yatatokea ya libya nasi tuonje joto ya jiwe
 
Ukiwaona malofa lofaaa! Hahaha! Watajikataa oct
 

Attachments

  • 1440863603580.jpg
    1440863603580.jpg
    45.9 KB · Views: 216
Dr.W.Slaa na Mzee Mwanakijiji,vipi na hawa watu hapo Chato wamebebwa na kusombwa?! Watu wazima nyie,punguzeni unafiki,mmefika bei basi kuweni kama Lipumba tu au masharti ya biashara yanawabana?!!

Hahajahajaja umenichekesha kweli Mkuu... Saizi MM kashapata pressure, chuki zao zimeziba ufahamu wao
 
Last edited by a moderator:
Leo vox populi ni Kawe!.Wale wenye smartphone naomba mnisaidie
Kutupiamo humu tupicha!, Mimi natumia Nokia ya Tochi

Pasco
 
Mungu ndiye anapanga yote atakayo. Aliyetukanwa sana hata kwa ugonjwa jambo ambalo ni mapenzi ya Mungu, akasingiziwa mengi sana, akatabiriwa kifo lakini uyo ndiye watu bado wanampenda sana. Lolote laweza kutokea.
 
Mungu ndiye anapanga yote atakayo. Aliyetukanwa sana hata kwa ugonjwa jambo ambalo ni mapenzi ya Mungu, akasingiziwa mengi sana, akatabiriwa kifo lakini uyo ndiye watu bado wanampenda sana. Lolote laweza kutokea.
hii inaitwa "jiwe walilolikataa waashi litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni" yaani wa kwanza atakuwa wa mwisho na mwisho atakuwa wa kwanza.
Pasco
 
Pasco mbona picha zinaongea zaidi ya haya yote uliyo yaandika ???
 
Last edited by a moderator:
jamani huku CCM ni Presha na joto tupu, siku zinahesabika Za Kuanza kutumia Anga La Ukawa Chini Ya Brigedia Kamanda Mkakamavu Sekta Zote Mh. LOWASSA!...kuanzia siku hiyo nitaishi kwa furaha Na amani ndani ya nchi yangu, na kuzidisha mahaba kwa nchi yangu!

AHSANTE! LOWASSAAAA.....AHSANTE BABAAAA.....! WEWE NI RAISI WETU NA TUNAKUKUBALI!!
 
Back
Top Bottom