Elections 2015 Hii 'Vox Populi' ni 'Vox Dei' Kuhusu 'Jiwe Walilolikataa Waashi'?

Swali ni nini?

Uliza swali kuhusiana na mada hii? Wengi madarasa ya fasihi hatukuhudhuria

Ni kweli Mkuu,wengine tulihudhuria Ma integration,Linear calculus,dijicastra algorithm etc,nadhani wanayasansi watakua wamenipata.
 
Naogopa sana kumuhusisha Mungu kwa dhamira ya kujifurahisha au kujifari. Tumepoteza heshima juu ya Muumba wetu. Nashauri tujitazame upya nafsi zetu, tumzungumzie Mungu kwa nsfasi yake na siyo kufanya mzaha.
 
Sehemu ya hao ni "bendera fata upepo", tuliyaona kwa mrema, kikwete na leo mamvi....

Akipotezwa huyo jamaa yao na wao watahama...
 
Wanabodi,

Habari za Jumapili.

Jumapili ya leo, naomba tutafakari kwa pamoja msemo huu wa lugha ya Kilatini kuwa "Vox Populi is Vox Dei"
ukimaanisha "Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu!", au "Kauli ya wengi ni kauli ya Mungu", ikimaanisha "Chaguo la wengi ndilo Chaguo la Mungu!".

Kuna maandishi yamewahi kuandika kuwa "hakuna kipya chini ya jua", jambo lolote linalotokea duniani, liwe zuri au baya, liliisha pangwa siku nyingi kitambo kuwa litatokea na jinsi ile ile ambayo limetokea!, yaani hakuna kitu kinachoitwa bahati mbaya, coincidence neema, majanga, etc, everything is pre meditated events zilipangwa tangu kitambo, vivyo hivyo ile siku dunia iliumbwa iliishajulikana rais wa Tanzania kwa mwaka 2015 ni nani!.

Kuna msemo wa Waswahili usema "Lisemwalo lipo, na kama halipo linakuja!", October ndio hiyo inakuja, jee hili lisemwalo sana, litakuwepo?, na kama halipo jee litakuja?!.

Rais wa Tanzania kwa mwaka 2015 tayari yupo, ameishaandikiwa, ameisha pangwa, ameisha chaguliwa na sasa anasubiri tuu kuapishwa!, hizi harakati zote za kutaja taja majina ni process tuu ya kukamilisha kile kilichoshapngwa!, hivyo watu mseme msiseme, mpange msipange, rais ni yule tuu aliyeandikiwa kuwa ndie rais wetu wa 2015 na ni lazima awe yeye, nikimaanisha yule aliyepangiwa na Mungu kuwa ndiye yeye, then lazima awe yeye, na akitokea akawa ni yule yule wengi wanayemdhania, huo utakuwa ndio uthibitisho wa kazi ya Mungu haina makosa!. Ikitokea asiwe yule ambaye ni chaguo la wengi, na badala yake akawa mwingine yoyote, then huyu mwingine aliyekuwa rais wetu itakuwa ndio yeye aliyeandikiwa!, sometimes sio lazima lisemwalo ndilo liwalo, bali liandikwalo!.

Kwa vile chaguo la rais wetu wa 2015 ni kazi ya Mungu, then inawezekana kabisa akachaguliwa mtu asiyetarajiwa kabisa, kama vile Mungu alipombadili mvuvi wa samaki na kumfanya mvuvi wa watu!. Na Akamwambia "Wewe ni mwamba na juu ya mwamba huu, nitalijenga kanisa langu!".

Ila pia kwenye mipango ya Mungu, kuna baadhi ya mambo ya ajabu ambayo Mungu huyapanga ili kuudhihirisha utukufu wake, mfano wakati wa kuwakomboa Wana wa Israel kutoka utumwani Misri, kwa kumtumia Nabii Musa, Mungu aliufanya moyo wa Firauni uwe mzito ili aweze kuuthihirisha utukufu wake kwao!.

Hiki ndicho kinachokuja kufanyika Tanzania katika uchaguzi huu mkuu ujao!, maadam kuna kuna watu wameishaandikiwa, Mungu ataifanya miyo yetu iwe migumu, kwa kuliinua lile "Jiwe Walilolikataa waashi!, litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!".

Kuna mambo ukiyafikiri kibinaadamu utayaona kama hayawezekani, lakini "Lisilowezekana kwa binadamu, kwa Mungu, linawezekana!" yaani "nothing is impossible under the sun!".

Hii topic ni kudiscuss ideas za rais wetu ajae na sio ku discuss people!. Great Minds discuss ideas, hivyo hawajaji taji majina na ndio maana mmeona kwenye uzu huu, sijataja jina lolote!. Hivyo nakuomba na wewe ujitahidi kuchangia bila kutaja taja majina!, ila ukijikuta unawashwa sana kutaja taja majina, wewe jijue ni simple mind!. Japo Jf was ment to be the home of great minds, but ordinary minds wanao discuss events wapo na simple minds wanao discuss people pia wapo!, na tunavumiliana!.

Namaliza kwa swali, jee hii "Vox Pupuli" tunayoisikia kweli ni sauti ya Mungu?! na huu muujiza wa Jiwe Walilolikataa Waashi, likafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni, unawezekana kwa Tanzania?!.

Kwa vile mimi nafahamika msimamo wangu humu kumhusu "jamaa yetu", hivyo wale mtakaoniadhania namzungumzia yeye, nawaomba mnisomeni kwa makini hapa

"Jamaa yetu!" sio lazima Yeye tuu ndiye awe Rais wetu 2015!.

Nawatakia Jumapili njema!.

Pasco
Jumapili ya leo, ni miezi miwili imepita tangu nilipotoa wazo hili kulitafakari, leo pia nimepata nafasi kidogo ya kulisoma tena na kulitafakari, kwa niliyoyasikia yatakayokwenda kutokea ndani ya saa 24, naendelea kusisitiza wale msioamini maneno ya unabii, hadi utimie, endeleeni tuu kutoamini kama alivyofanya Tomaso, mpaka mshuhudie, wenye wengine wenye imani ndogo tuu kama chembe ya haradali, wanatosha kutufikisha kwenye nchi ya ahadi!.

Mwacheni Mungu aitwe Mungu!,

Jumapili njema!.

Pasco
 
Kutokana na uandishi wako naona kama umekubali matokeo vile kuhusu jamaa yako? Sasa unaangalia options mbili,aidha atoke ndani ya kile chama akagombee urais kupitia chama kingine au mbakie ndani ya hicho chama na kuhamishia nguvu kwa mbadala wake.

"Jiwe walilokataa waashi kugeuka kuwa jiwe kuu la pembeni"-mnamaanisha atagombea urais hata ikibidi kwa tiketi ya Upinzani.
"Siyo lazima ni yeye awe rais..."-mnaweza kumuunga mkono mbadala wake kutoka ktk genge lenu.
Mkuu , kiukweli humu ndani ya jf, ma real thinkers sio wengi kivile, ila wewe ni mmoja wa hao wachache tulionao!.

Ndani ya saa 48 nitarudi kukupongeza kwa kupatia!.

Pasco
 
Kumkata huyu jamaa CCM ITALIA NA LAZIMA ILIE MILELE NA MILELE, THEIR PAIN WONT BE HEALED

Wanabodi,

Habari za Jumapili.

Jumapili ya leo, naomba tutafakari kwa pamoja msemo huu wa lugha ya Kilatini kuwa "Vox Populi is Vox Dei"
ukimaanisha "Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu!", au "Kauli ya wengi ni kauli ya Mungu", ikimaanisha "Chaguo la wengi ndilo Chaguo la Mungu!".

Kuna maandishi yamewahi kuandika kuwa "hakuna kipya chini ya jua", jambo lolote linalotokea duniani, liwe zuri au baya, liliisha pangwa siku nyingi kitambo kuwa litatokea na jinsi ile ile ambayo limetokea!, yaani hakuna kitu kinachoitwa bahati mbaya, coincidence neema, majanga, etc, everything is pre meditated events zilipangwa tangu kitambo, vivyo hivyo ile siku dunia iliumbwa iliishajulikana rais wa Tanzania kwa mwaka 2015 ni nani!.

Kuna msemo wa Waswahili usema "Lisemwalo lipo, na kama halipo linakuja!", October ndio hiyo inakuja, jee hili lisemwalo sana, litakuwepo?, na kama halipo jee litakuja?!.

Rais wa Tanzania kwa mwaka 2015 tayari yupo, ameishaandikiwa, ameisha pangwa, ameisha chaguliwa na sasa anasubiri tuu kuapishwa!, hizi harakati zote za kutaja taja majina ni process tuu ya kukamilisha kile kilichoshapngwa!, hivyo watu mseme msiseme, mpange msipange, rais ni yule tuu aliyeandikiwa kuwa ndie rais wetu wa 2015 na ni lazima awe yeye, nikimaanisha yule aliyepangiwa na Mungu kuwa ndiye yeye, then lazima awe yeye, na akitokea akawa ni yule yule wengi wanayemdhania, huo utakuwa ndio uthibitisho wa kazi ya Mungu haina makosa!. Ikitokea asiwe yule ambaye ni chaguo la wengi, na badala yake akawa mwingine yoyote, then huyu mwingine aliyekuwa rais wetu itakuwa ndio yeye aliyeandikiwa!, sometimes sio lazima lisemwalo ndilo liwalo, bali liandikwalo!.

Kwa vile chaguo la rais wetu wa 2015 ni kazi ya Mungu, then inawezekana kabisa akachaguliwa mtu asiyetarajiwa kabisa, kama vile Mungu alipombadili mvuvi wa samaki na kumfanya mvuvi wa watu!. Na Akamwambia "Wewe ni mwamba na juu ya mwamba huu, nitalijenga kanisa langu!".

Ila pia kwenye mipango ya Mungu, kuna baadhi ya mambo ya ajabu ambayo Mungu huyapanga ili kuudhihirisha utukufu wake, mfano wakati wa kuwakomboa Wana wa Israel kutoka utumwani Misri, kwa kumtumia Nabii Musa, Mungu aliufanya moyo wa Firauni uwe mzito ili aweze kuuthihirisha utukufu wake kwao!.

Hiki ndicho kinachokuja kufanyika Tanzania katika uchaguzi huu mkuu ujao!, maadam kuna kuna watu wameishaandikiwa, Mungu ataifanya miyo yetu iwe migumu, kwa kuliinua lile "Jiwe Walilolikataa waashi!, litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!".

Kuna mambo ukiyafikiri kibinaadamu utayaona kama hayawezekani, lakini "Lisilowezekana kwa binadamu, kwa Mungu, linawezekana!" yaani "nothing is impossible under the sun!".

Hii topic ni kudiscuss ideas za rais wetu ajae na sio ku discuss people!. Great Minds discuss ideas, hivyo hawajaji taji majina na ndio maana mmeona kwenye uzu huu, sijataja jina lolote!. Hivyo nakuomba na wewe ujitahidi kuchangia bila kutaja taja majina!, ila ukijikuta unawashwa sana kutaja taja majina, wewe jijue ni simple mind!. Japo Jf was ment to be the home of great minds, but ordinary minds wanao discuss events wapo na simple minds wanao discuss people pia wapo!, na tunavumiliana!.

Namaliza kwa swali, jee hii "Vox Pupuli" tunayoisikia kweli ni sauti ya Mungu?! na huu muujiza wa Jiwe Walilolikataa Waashi, likafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni, unawezekana kwa Tanzania?!.

Kwa vile mimi nafahamika msimamo wangu humu kumhusu "jamaa yetu", hivyo wale mtakaoniadhania namzungumzia yeye, nawaomba mnisomeni kwa makini hapa

"Jamaa yetu!" sio lazima Yeye tuu ndiye awe Rais wetu 2015!.

Nawatakia Jumapili njema!.

Pasco

Nikusahihishe Pasco. Kuna tofauti kati ya kujua kitakachotokea na kupanga kitakachotokea.

As God exists outside of time, He knows what is to come. That does not mean that He plans it.

Ni kweli Mungu anajua kama tutaweza kuwa na Rais na atakuwa nani. Hiyo haimaanishi Yeye anamchagua huyo mtu.

Mungu hatuchukii. Ametuumba na ruksa ya kuchagua. Tulichagua mtu mbaya kipindi kinachomalizika. Hatatunyima utashi wa kuchagua mtu mbaya tena, yaani Lowasa.

Tumetawaliwa na wezi na wanyanganyi kwa miaka mingi. Tusipobadilisha chama tawala tukachagua fisadi basi atakuwa ni chaguo letu. Sio chaguo la Mungu.
Mkuu Augustine Moshi, fuatilia kisa cha mtu aliyeitwa Saulo na MtumE Paulo!.

Pasco
 
Yaani short and clear ...!!!

Lowassa + UKAWA ni gharika kubwaa...

CCM itakuwa kama haikuwepo kabisa..subirieni
 
Vox Populi Vox Dei inaendelea!.
Leo ni Mwanza!.

Sunday, August 16, 2015 UCHAGUZI 2015No comments
PICHA NA MAELEZO ZAIDI YAJA.....VUTA SUBIRA........

555.jpg

222.jpg

99.jpg

Tupe maoni yako
 
Back
Top Bottom