Hayati Magufuli alisema "Wakati mwingine Draft za Mikataba zinatoka kwa Wawekezaji siye Kazi yetu ni Kujaza na Kusaini tu"

Screenshot_20230615-122154_Keep Notes.jpg
 
Bongo lala ndipo inapo simama kidete, wananchi na viongozi wa wananchi wote ni inferior.

Mikataba yote ni kupewa terms na sio sisi kutoa terms.

Yani kifupi watz ni vilaza
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu wa mbinguni

Shujaa Magufuli wakati akiiponda Mikataba ya kifisadi tunayoingia kama nchi alisema " Wakati mwingine Draft za Mikataba zinatoka kwa Wawekezaji siye Kazi yetu ni Kujaza na Kusaini tu"😃

Jiwe walilolikataa Waashi Math 21:42

Jumaa kareem!
Msema ukweli mpenzi wa Mungu ccm watakupiga mawe na kukataa ukweli huu.
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu wa mbinguni

Shujaa Magufuli wakati akiiponda Mikataba ya kifisadi tunayoingia kama nchi alisema " Wakati mwingine Draft za Mikataba zinatoka kwa Wawekezaji siye Kazi yetu ni Kujaza na Kusaini tu"😃

Jiwe walilolikataa Waashi Math 21:42

Jumaa kareem!
Na huyu jiwe ni mkataba gani aliudraft yeye na watu wake katika kipindi chake cha uongozi kwa wawekezaji?
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu wa mbinguni

Shujaa Magufuli wakati akiiponda Mikataba ya kifisadi tunayoingia kama nchi alisema " Wakati mwingine Draft za Mikataba zinatoka kwa Wawekezaji siye Kazi yetu ni Kujaza na Kusaini tu"😃

Jiwe walilolikataa Waashi Math 21:42

Jumaa kareem!
Diktetea alikuwa na nia njema tatizo lake ilikuwa ni democracy
 
Hivi katika hawa ndugu zetu wawili- tuwaite negotiation team- sasa tupeni CV zao tuwachambuke kama karanga na uzoefu wao wa kazi- picha inaongea mengi- waarabu wanamuangalia Hangaya, na ndugu zetu wamepaza shingo kihanganya hangaya. Hivi likuwaje hawakujua kwamba huo mkataba Magumashi tu?
Kabla ya yote walipewa dollar elf 50 kila mtu
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu wa mbinguni

Shujaa Magufuli wakati akiiponda Mikataba ya kifisadi tunayoingia kama nchi alisema " Wakati mwingine Draft za Mikataba zinatoka kwa Wawekezaji siye Kazi yetu ni Kujaza na Kusaini tu"😃

Jiwe walilolikataa Waashi Math 21:42

Jumaa kareem!
ccm kwenye mikataba ya mchii hii hawana cha kupoteza ndio maana Lisu anaenda kuwa Raisi kulisaidia taifa kupitia mikataba waloingia tangu uhuru.
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu wa mbinguni

Shujaa Magufuli wakati akiiponda Mikataba ya kifisadi tunayoingia kama nchi alisema " Wakati mwingine Draft za Mikataba zinatoka kwa Wawekezaji siye Kazi yetu ni Kujaza na Kusaini tu"😃

Jiwe walilolikataa Waashi Math 21:42

Jumaa kareem!
Yametimia...ishi ulaumiwe, kufa usifiwe
 
Yeye aliponda mkataba wa Kikwete na Wachina kwenye SGR wa bei nafuu akaenda akaenda kuliingiza Taifa hasara kubwa na kusababisha mpaka leo SGR hajakamilika.
Achana na wachina wauza karanga hapo Kenya anawakomesha wanashindwa hata kulipana mishahara, Ruto kg zinapungua kila iitwapo leo!
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu wa mbinguni.

Shujaa Magufuli wakati akiiponda Mikataba ya kifisadi tunayoingia kama nchi alisema " Wakati mwingine Draft za Mikataba zinatoka kwa Wawekezaji siye Kazi yetu ni Kujaza na Kusaini tu"

Jiwe walilolikataa Waashi Math 21:42

Jumaa kareem!
Kila mtanzania akichangia elfu 2 tu tutapata pesa ya kutosha kuendeshea na kununulia mashine za kisasa kuweza kuendesha bandari yetu badala ya kuwauzia warabu milele.

Watanzania walioaminishwa na Hayati Magufuli kwamba wanaweza na nchi yao ni tajiri na wakaanza kujenga miradi ya matrillioni ya fedha kama ndege, SGR, bwawa la umeme, kuhamia Dodoma, elimu bure, madaraja marefu Afrika mashariki na ya kati etc, ghafla sasa upepo umebadilika viongozi wote wanahubiri watanzania hawawezi na hawajiwezi kwa lolote kabisa! Bunge linasema kila kitu kipitishwe kwa sababu watanzania hawana uwezo wa kifedha wala akili ya kuendeleza miradi mikubwa kama ya bandari. Wapo pia wanasema hata taasisi za bunge na urais nazo zibinafisishwe ili ziweze kutoa matokeo chanya na ya haraka kwa wananchi.
 
Umeongea point tatizo ni linakuja hawa ccm siwezi kuchanga hata mia yangu

Lisu akisema tuchange elfu 2 nitachanga elfu 10 najua hizo pesa zinaenda kufanya kazi ilo kusudiwa.
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu wa mbinguni.

Shujaa Magufuli wakati akiiponda Mikataba ya kifisadi tunayoingia kama nchi alisema " Wakati mwingine Draft za Mikataba zinatoka kwa Wawekezaji siye Kazi yetu ni Kujaza na Kusaini tu"😃

Jiwe walilolikataa Waashi Math 21:42

Jumaa kareem!
CCM ni ileile tu!!
 
Back
Top Bottom