Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,361
Jf number one wengine wanafuata
Hilo halina ubishi.
Jf number one wengine wanafuata
kwani hiyo vita ni kati ya mwenye mungu na mwenye shetani?
baba mkwe! - ohhh sorry manoah mie na fesibuku ni kama tende na kahawa.
kwanza wengi kuingia fb wanaigoogle kwanza.Hakuna lolote..utoto tu.. google wanawaacha kwa mbali..wapo very creative na wana mambo mengi na mengi ni educative