Hii video inayosambaa mtandaoni kuhusu ufisadi unaofanywa na viongozi wetu, Watanzania tuamke sasa

Wale wale Tu!
Kila mtu anapigania watu wake katika cycle yake ipate ulaji!

Kuna mainjinia wengi sana hii waliyojenga na kusimamia ujenzi wa mambo makubwa lakini hatukuona majina yakibandikwa kwenye madaraja!

Hili mimi lilinipa ukakasi Sana. Mfugale tower. Mfugale flyover. Kijazi flyover mmmmh!
Wakandarasi hawakuwa wazawa bali Wachina!
Hawa jamaa ameanza kuiba nao tangu akiwa Naibu Waziri
 
Huyu kigogo naye anageuka kuwa mchonganishi!! Si aseme kontena la pesa liko wapi lishughulikiwe?
Hakuna contena la pesa, kuna mtu anaona hasikiki hasemwi page imedorora!
Kaamka na uzushi na propaganda!

Ukute contena lenyewe linalozungumziwa ni kibakuli cha mama ntilie! Maana hutumia makontena! 😂
 
Kwahio Hazina pale kuna chumba moja kubwaa wanatunza hela sio😅😅

Kua uyaone mdogo wangu
Hazina=MoFP
Ni policy maker tu na controller wa hizo hela..hakai na mahela pale, ni kama TRA tu anakusanya but
All the money stays wth BoT na wanaziaccess through Commercial Banks

Ila basi endelea kubisha sio mbaya pia
Siku njema
Mtaji WA wanasiasa ni ujinga wetu na kutokuelewa vitu!
Huenda contena linalozungumziwa ni vile vikopo vya kuhifadhia sukari na chumvi au contena za chakula za Mama ntilie!

Mtu anateka akili za watu kabisaaaah kimasihara!
 
Hawa wa Arusha jiji walikata kamba?
"Wengini waliosimamishwa kazi ni Mariamu Mshana ambaye ni mweka hazina wa Jiji hilo, Alex Daniel , Innocent Maduhu na Nuru Kinana kutoka ofisi ya mchumi pamoja na Joel ambao yupo katika Halmashauri ya Longido kwa sasa."
Majaliwa awasimamisha kazi vigogo sita Arusha
Nampa pole PM kassim majaliwa kwa kazi nzito na muhimu anazozifanya BIGUP to #KASSIM you deserve a more special public work
 
Ila mnaoiba kodi zetu muwe na utu basi hata kidogo, ibeni kistaarabu jamani ili tuboreshe walau miundo mbinu zile za msingi kabisa hasa barabara, maji, umeme, elimu na afya. Tuoneeni huruma na sisi waTz wenzenu ni binadamu jamani, mnatuumiza sana hasi kupitia tozo za miamala, zinaumiza sana, tuhurumieni jamani na sisi binadamu pia. Hatusemi msiibe, ibeni kwa utu na ubinadamu, sio kikatili.
 
Ishu ni katiba tu, hivi katiba ikisema ukikutwa na kosa la ufisadi unanyongwa hadharani au kifungo cha maisha na kweli action zikawepo, unafikir watu hawata badirika??

Shida ni systeem iliyopo madarakani ndo hio hio ya upigaji. Tuitoe CCM madarakani mabadiliko yatakuwepo tu. Unafikir kwanini hawataki Katiba mpya?
Tuitoe halafu tukipe nchi chama gani?
 
Back
Top Bottom