Hii tweet ya Nape inamlenga nani?

jingalao,

Utajibu nini kwenye hoja ya kujenga uwanja wa ndege kijijini kwenu tena kwa kampuni inayosemekana una uhusiano nayo kwa utaratibu ambao wala haukujadiliwa wala kupitishwa na bunge?

Spana za Lissu ni kali sana kwenu mataga!! Mnatamani kusiwe na uchaguzi mwaka huu😃. Na huyo ndo Lissu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…