Hii timu yangu ya Simba kumbe bado ni takataka 🚮

Hatima ya Simba ipo kwa wanachama wa Simba. Wahakikishe uchaguzi ujao wanaingiza damu changa kwenye uchaguzi unaokuja. Kama kuna mzee yoyote yule anayependa kuongoza Simba basi wachaguliwe kwenye baraza la wazee, baraza la wadhamini au wabaki washauri tu.
 
Tatizo la Simba ni Mshambuliaji wa kati, no 9 ya uhakika. Baasi.
 
Kwa hicho kikosi na ujinga ujinga wenu , na ufisadi, hatuwezi kuwashinda Yanga kamwe 🤔

Yapo mababu majinga majinga kwenye uongozi ,ambayo hayana maono ya mpira wa sasa.

Kwa Simba day hii tu na utambulisho wa wachezaji , mtapigwa nyingi sana takataka nyie .

Kipigo cha hawa wajinga na kutochukua makombe kitadumu kwa miaka mingi .

Simba yangu nguvu moja toka 1995 nipo nanyi , nyakati zote , tujiandae kwa tabu.
1786246618631.jpg
 
Hatima ya Simba ipo kwa wanachama wa Simba. Wahakikishe uchaguzi ujao wanaingiza damu changa kwenye uchaguzi unaokuja. Kama kuna mzee yoyote yule anayependa kuongoza Simba basi wachaguliwe kwenye baraza la wazee, baraza la wadhamini au wabaki washauri tu.
Naunga mkono hoja
 
Pengne umeangalia juu juu.
Hawa madogo waliosajiliwa kutoka ndan ya Ligi yetu wako vizur.
Nashon, Chilambo na Bakar Msimu wako vizuri sana.

muda mfupi ujao utamuona Kaletso (jezi namba 11 ). Doumbia pia tumpe muda.
Na hawa wa zaman
Aura ,Gueye, Chama, Toure, De Reuck, kagoma na Mpanzu.

Bado una wasiwasi?.
na kweli mkuu tuwape muda maana hata kipindi cha kina mipson hatukuwadhania kama watakuwa vile
 
Kwa hicho kikosi na ujinga ujinga wenu , na ufisadi, hatuwezi kuwashinda Yanga kamwe 🤔

Yapo mababu majinga majinga kwenye uongozi ,ambayo hayana maono ya mpira wa sasa.

Kwa Simba day hii tu na utambulisho wa wachezaji , mtapigwa nyingi sana takataka nyie .

Kipigo cha hawa wajinga na kutochukua makombe kitadumu kwa miaka mingi .

Simba yangu nguvu moja toka 1995 nipo nanyi , nyakati zote , tujiandae kwa tabu.
Ubora wa simba na yanga unategemea na rais aliyepo madarakani.
 
Back
Top Bottom