Hii timu yangu ya Simba kumbe bado ni takataka 🚮

Hata Simba walipochukua kombe mara nne mfululizo ni Kwa sababu Yanga walikuwa na uongozi mbovu wakawa wanategemea bakuli. Kwa uongozi huu wa Yanga Simba wanatakiwa watembee kisasa la sivyo alichosema Manara watachukua kombe mara kumi mfululizo naliona
 
Kwa hicho kikosi na ujinga ujinga wenu , na ufisadi, hatuwezi kuwashinda Yanga kamwe 🤔

Yapo mababu majinga majinga kwenye uongozi ,ambayo hayana maono ya mpira wa sasa.

Kwa Simba day hii tu na utambulisho wa wachezaji , mtapigwa nyingi sana takataka nyie .

Kipigo cha hawa wajinga na kutochukua makombe kitadumu kwa miaka mingi .

Simba yangu nguvu moja toka 1995 nipo nanyi , nyakati zote , tujiandae kwa tabu.
Hapana usidanganyike na mechi ya jana,kocha hakutaka kuwaonesha yanga staili ya uchezaji na yupi ni mchezaji hatari
 
Kwa hicho kikosi na ujinga ujinga wenu , na ufisadi, hatuwezi kuwashinda Yanga kamwe 🤔

Yapo mababu majinga majinga kwenye uongozi ,ambayo hayana maono ya mpira wa sasa.

Kwa Simba day hii tu na utambulisho wa wachezaji , mtapigwa nyingi sana takataka nyie .

Kipigo cha hawa wajinga na kutochukua makombe kitadumu kwa miaka mingi .

Simba yangu nguvu moja toka 1995 nipo nanyi , nyakati zote , tujiandae kwa tabu.
Hamia Yanga kwa muda. Wenye mapenzi ya kweli na Simba tukiishawatengenezea timu, utarudi.
 
Kwa hicho kikosi na ujinga ujinga wenu , na ufisadi, hatuwezi kuwashinda Yanga kamwe 🤔

Yapo mababu majinga majinga kwenye uongozi ,ambayo hayana maono ya mpira wa sasa.

Kwa Simba day hii tu na utambulisho wa wachezaji , mtapigwa nyingi sana takataka nyie .

Kipigo cha hawa wajinga na kutochukua makombe kitadumu kwa miaka mingi .

Simba yangu nguvu moja toka 1995 nipo nanyi , nyakati zote , tujiandae kwa tabu.
Pole mdau
 
Kwa Simba hii kutwaa ubingwa ni hadi serikali iingilie kati ili kuendelea kuweka passion ya ushabiki juu ili CCM na serikali yake waendelee kuzitumia hizo taasisi kwa manufaa yao binafsi.
 
Back
Top Bottom