Hii timu yangu ya Simba kumbe bado ni takataka 🚮

Hii timu yangu ya Simba kumbe bado ni takataka 🚮

Kikosi kiko vizuri labda maboresho ni machache, kipa na no 9 halisi baasi. Hizi nyingine ni lawama za kiwaki mmmh.
 
Kwa hiyo Simba SC striker ni Mpanzu na Doumbia.. aisee kichekesho.. halafu kuna mechi 4 ngumu za CAFCL kama Simba ikifika makundi... mwaka jana na juzi bado yataendelea kuwa na huu mwaka pia....

Ishu siyo Mwalim kama mchezaji ila jinsi tu Simba kama klabu inavyoendesha mambo yake ni wazi mambo yanaenda kitapeli sana,,, yaani jana unamtambulisha mchezaji leo anasainiwa kwingine..
 
JAPO SIKUHIZI SIPENDI KUONGELEA MASUALA YA MPIRA LAKINI ANAYEFANYA SAJILI HIZI HAFAI KABISA NDANI YA SIMBA. ANAIANGAMIZA SIMBA.

1. Golikipa hatoshi.(Lete Kamala)
2. Tafuta beki wa kushoto (kata maema)
3. Tafuta kiungo No 6
(Kata katleso)
4. Tafuta Mshambuliaji No 9
(Kata DUMBIA).

Baadhi ya Mashabiki ni Wajinga wanamlalamikia Mangungu
 
Back
Top Bottom