Hii timu yangu ya Simba kumbe bado ni takataka 🚮

Hii timu yangu ya Simba kumbe bado ni takataka 🚮

Naweza kusema hii ndiyo Simba Day Bora kuwahi kutokea toka lianzishwe hili tamasha, ubunifu wa Msemaji wa Simba SC naweza kusema leo ndiyo Man of The Match, huyu ndo kaifanya Simba Day ipendeze zaidi.
Mwamba atabaki kwenye historia ya soka la Tanzania.
Very creative

Kikosi kipana.
Wamebadilisha karibia kikosi kizima.
 
Kwa hicho kikosi na ujinga ujinga wenu , na ufisadi, hatuwezi kuwashinda Yanga kamwe 🤔

Yapo mababu majinga majinga kwenye uongozi ,ambayo hayana maono ya mpira wa sasa.

Kwa Simba day hii tu na utambulisho wa wachezaji , mtapigwa nyingi sana takataka nyie .

Kipigo cha hawa wajinga na kutochukua makombe kitadumu kwa miaka mingi .

Simba yangu nguvu moja toka 1995 nipo nanyi , nyakati zote , tujiandae kwa tabu.
Tchamecha mleu!
 
Mlisahau kunywa metronidazole
 

Attachments

  • 1785260576190.jpg
    1785260576190.jpg
    52 KB · Views: 5
Back
Top Bottom