Hii tabia ya wizi baada ya misiba kuisha

Kuna msiba niliwahi kwenda... Hom kule kwa bibi majimatitu yaan nikakutana na wamama sijui ndo mama wadogo ila ni rafiki wa mama zangu..

Wakawa wanamwambia mama "" Ruqia mwanao amekua, amekua mbaba jamni ebu njoo,,

Wananiita alafu wananishika kidevu et wanasema " jaman watoto siku hizi wanakula mboleq cheki huyu ndo wakua na ndevu, haya salimia mama zako ""

Kuna mmoja alinishika kidevu nikaanza kama kumtamani hvi ila ndo basi tena ni ndgu wale nahisi...

Msibani kweli kuna mengi wizi upo mpaka wizi wa wake za watu
 
Aisee ni hatari
 
Usicheke walahi humu uswazi Kuna wamama wanahudhuria misiba ukadhani Wana Imani walaaa wao kuiba pochi ,simu, msosi ,viatu na hata mumeo akikaa HOVYO wanambeba sijui mijitu mingine ikoje
😂😂😂😂😂😂
 
Madam ughongajishi huo?
Vipi habari za nyanda juu kusini hawana hizi mambo😂
Aaaah sasa nachonganisha nini mimi🤣🤣weka maelezo kamili....

huku baridi hadi tunarukwa akili,labda uo msiba uwe na pilau ndo tunaiba
 
😂😂 duh sisi huku jua utafikiri tuko pre season ya jehanamu
Msiba yeyote ikitokea naomba ushike maiki utoe tangazi kwa wanawake wenzio
 
aaaah kila mtu lazma anufaike,,acha kuharibu biashara za watu,, biashara ni popote mkuu,,,kesho mtugawie ilo jua☺️☺️
 
Mwanamke kuwa mwizi hai sound good 😂😂
 
Ni shida kwa kweli, sometimes bora hata misiba ya wazungu msiba haufanyiki nyumbani kwa marehemu, nyinyi mnapewa taarifa ya msiba kisha mnaambiwa mtajulishwa tarehe na mahali pa maziko au kuaga, wote mnakutania huko na sio nyumbani.

Ila huku kwetu watu wanajaa nyumbani. Wamama hasa wanaiba sana, vyombo kwenye nyumba ya msiba vitaibiwa, nguo, viatu, hereni bangil, pesai yani everything.
Hata wale wanaopika huwa wanaiba vyakula unakuta mama kajaza ndoo ya nyama/pilau kaificha sehemu badae anaondoka nayo. Ni aibu kwa kweli

Solution ni kufunga vyumba atu wasiingie vyumbani, ila sasa kwa upande wa jikoni haiwezekani sababu watu watatumia tu vyombo. yani ni shida kwa wafiwa..
 
Back
Top Bottom