Hii tabia ya wizi baada ya misiba kuisha

Hii tabia ya wizi baada ya misiba kuisha

Watu wakae nje hakuna Cha binamu, sjui mtoto wa aunt Salome wote nje kwa waombolezaji,

Kingine ni hv wale wanaokusaidia kupika waombe kila mtu aje na vyombo vyake kama kukusaidia uone kila mtu ambavyo anakuwa makini na chombo chake hata kama kijiko,

Ila ukifungua kabati kuonyesha vyombo unavyo umeula wa chuya!!

Kama una uwezo wa kuajiri wapishi fanya hivyo ni ngumu mtu kuondoka na sahani, maake muda wote wahudumu wapo kila Kona,

Chagua mtu mmoja au mwanafamilia ndo ataingia nyumba hii au tumia chumba kimoja na kiwe hakina kitu chochote kama soda sjui maji, pombe, sjui mchele vitakaa humo na kuwe na msimamizi

Binadamu sio wa kuwaamini
 
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna hii tabia ya misiba baada ya kuisha unakuta vitu kama vyakula , nguo au vyombo vimepotea baadhi wakati mwingine hata vyote tu.

Na hii tabia haswa ni wadada au wanawake wana hii michezo , sasa sijui ni tamaa au ni nini.

Msiba unapoisha suala kukuta mchele, unga , sukari sijui mafuta ya kula au nguo kupotea ni jambo la kawaida na hii tabia ni ya wanawake hasa hawa wapishi wapishi. Nawashauri muache wenye hio tabia.

Mtu kafiwa labda na mume wake wewe badala ya kuwa faraja unaenda tena na kumwibia kabsaa.

LAANA SUMAKA KABISA
Yamekukuta nini mkuušŸ˜„šŸ˜„šŸ˜„šŸ˜„šŸ˜„
Tabia moja mbovu sanaa
 
Kuna msiba niliwahi kwenda... Hom kule kwa bibi majimatitu yaan nikakutana na wamama sijui ndo mama wadogo ila ni rafiki wa mama zangu..

Wakawa wanamwambia mama "" Ruqia mwanao amekua, amekua mbaba jamni ebu njoo,,

Wananiita alafu wananishika kidevu et wanasema " jaman watoto siku hizi wanakula mboleq cheki huyu ndo wakua na ndevu, haya salimia mama zako ""

Kuna mmoja alinishika kidevu nikaanza kama kumtamani hvi ila ndo basi tena ni ndgu wale nahisi...

Msibani kweli kuna mengi wizi upo mpaka wizi wa wake za watu
Umeharibika...huponi tena
 
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna hii tabia ya misiba baada ya kuisha unakuta vitu kama vyakula , nguo au vyombo vimepotea baadhi wakati mwingine hata vyote tu.

Na hii tabia haswa ni wadada au wanawake wana hii michezo , sasa sijui ni tamaa au ni nini.

Msiba unapoisha suala kukuta mchele, unga , sukari sijui mafuta ya kula au nguo kupotea ni jambo la kawaida na hii tabia ni ya wanawake hasa hawa wapishi wapishi. Nawashauri muache wenye hio tabia.

Mtu kafiwa labda na mume wake wewe badala ya kuwa faraja unaenda tena na kumwibia kabsaa.

LAANA SUMAKA KABISA
Wanaiba kifo, wee waache tu.
 
Watu ni washenzi sana.

Wezi wengine huwa ni watu wa karibu kabisa.
 
Back
Top Bottom