Hii tabia wanaume wengi wanayo

Loh! Mungu anawaona nyie
 
Loh,! Wiki mbili too fast hata kama nimekupenda,unajua naweza kukupenda sana ila nikachelewa kukubalia kukupa mwili ila nakupenda hapa huwa naangalia bidii yako katika upendo unaosema unanipenda,na wivu ninao kwako ila naangalia hali kwanza

Hayo yatakuwa mapenzi ya agape.

Endelea kuchelewa hivyohivyo ndio utashangaa unapishana na mambo mazuri
 
Asipo kurudia ujue round ya kwanza ilikua hovyo. Embu mpe mautundu uone ile kasi ya 4G
Kama round ya kwanza hakuridhika talk,mapenzi ni kuongea na kuelekezana,hakuna anayezaliwa akiwa anajua kila kitu ,tunajifunza kutoka kwa mwingine
 
Kazi kweli kweli!
 
Kama round ya kwanza hakuridhika talk,mapenzi ni kuongea na kuelekezana,hakuna anayezaliwa akiwa anajua kila kitu ,tunajifunza kutoka kwa mwingine
Sasa nikuambie tuu, mwanaume sio Kila kitu aseme, mautundu tuu ndio yatamfanya Anyooshe mikono juu na kusema HALELUJAH
 
Mnashindwa kuchagua. Anayekupenda kweli unamkataa na unakuja kuangukia kwenye mikono ya viwembe.
 
Unaona[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Katika umri wa miaka 20-30 ni vijana wachache sana wanaomfuata mwanamke na kumtongoza kwa nia tofauti na ngono.

Sasa baada ya kutimiza lengo ni nini kingine anataka kutoka kwako?
 
Katika umri wa miaka 20-30 ni vijana wachache sana wanaomfuata mwanamke na kumtongoza kwa nia tofauti na ngono.

Sasa baada ya kutimiza lengo ni nini kingine anataka kutoka kwako?
Shida kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…