Unaumiza watoto wa mwanaume mwenzioHii sired n kama imenilenga
Maana kama namfukuzia dem mwez
Mmoja ndo aje akubali walaaaaah wabilah baada ya kupewa tunda hata mm naonesha maringo yang
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
kumbe huwa mnaskia utamu?Kuna utamu wake pale mwanaume anavyokuwa anakutafuta kwa hisia,unamsumbua kwanza,unaona je ni kweli yupo serious au lah!
Hata wao wananiumiza kumfukuziaUnaumiza watoto wa mwanaume mwenzio
Mwanaume Wa DarMimi niko tofauti hata ukinipa mchezo naweza kukusumbua kwa sms nk mpaka nimpendae anaona kero vile.. Kupenda huku kuacheni.
Mwanaume akipenda upenda kweli hata kibanda anaweza jenga.. Ila nyie wanawake hapana sijawahi kuwaamini, ndyo maana wahenga wanasema tuishi na ninyi kwa akili.Hata sisi hatuwaamini hasa baada ya kuwapa tunda huwa tunaangalia mienendo yenu
Hata mwezi au miezi 3,nataka hadi uniimbie nyimbo tamu ambazo hazijawahi kuimbwa duniani,unipe sifa ambazo sijawahi kuzisikia ndo nakubali
Wa mkoani wapoje?Mwanaume Wa Dar
tutalaaniwa mara ngapi... mama yenu alipotulisha tunda la mti wa kati tukalaaniwa.[emoji16] [emoji16] [emoji16] mlaniwe !!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]uchaguzi ukishafanyika hakuna tena kampeni.
wanawake wanaamini zaidi wanachosikia tofauti na wanaume wanaamini zaidi wanachokiona
usipite huku tafadhali