Hii tabia wanaume wengi wanayo

uchaguzi ukishafanyika hakuna tena kampeni.

wanawake wanaamini zaidi wanachosikia tofauti na wanaume wanaamini zaidi wanachokiona





usipite huku tafadhali
Sawa sawa ninepita
 
Kwa nini usiijengeee? Ili iwe bora hata mwananchi wako hatakusahau kamwe!!
Naweza fanya ivo lakini sasa kama wewe muhusika mwenyewe unajifanya unajua kila kitu na hautaki kuelekezwa unadhani nitahangaika na wewe
 
Naweza fanya ivo lakini sasa kama wewe muhusika mwenyewe unajifanya unajua kila kitu na hautaki kuelekezwa unadhani nitahangaika na wewe
Tukisha vua unjanja huwa haupo na huwa tupo makini kuwasikiliza kwa nini usitumie hiyo nafasi kutoa maelekezo?
 
Punguzeni usumbufu...
Mali ya sisi sote
Acheni uchoyo
Kuwa na msimamo
Kama hujafika umri wako sahihi acha
Akikuitaji utampa baada ya ndoa
..
Mimi sipendagi usumbufu. First time nikianza kuflow ukaonesha ukakasi ujue sitarudi tena... Maisha ya kubembelezana haya ndio sina mda nao ... Ntambembeleza alienikubalia na kumuonesha mapenzi ya kweli
Kuwa msafi, nje na ndani
Usigae papuchi kama upo kwenye mashindano ya olympic
Anaefaaa kuchezea kipochi manyoya kila time ni mumeo katika ndoa. Ukigawa sana ujue hapo ni friend match na ndipo unapochuja
Acheni kuishi kwa kukalili .. Nikimkubali haraka nitaonekana mi maharage ya mbeya..
Acha kusoma soma story za magroup kuhusu njia za kupenda..
Jiulize unaanza mahusiano ili iweje baada ya hapo itakuaje. Je yeye anamtazamo upi kuhusu mahusiano yenu . muulize je ni part time or full time...if ni full time kajitambulishe
Mapenzi hayafundishi mapenzi huja automatic
Siyo kila mwanaume ni msaliti..


Chambua apo yapi sahihi niliyoyandika mengine nimeandika pumba..chagua yanayokufaa.
 
Nijue unaposema acha uchoyo na unaposeama usigawe gawe una maana gani hapo,maana unasema halafu unajipinga
 
Kwa usawa huu wa jiwe ni mwendo wa ku hit and run!

Af hua tukifanikiwaga kumnasa dem msumbufu tunaakikishaga tumepiga game ad uwanja unakua kama jaruba LA mpunga..baada ya hapo na namba tunafuta!
 
Mkuu
Chanzo ni nyie ndo mana tunakua hivi
 
Kwa usawa huu wa jiwe ni mwendo wa ku hit and run!

Af hua tukifanikiwaga kumnasa dem msumbufu tunaakikishaga tumepiga game ad uwanja unakua kama jaruba LA mpunga..baada ya hapo na namba tunafuta!
Mshindwe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…