Hii tabia tuache jamani, 'ni kabila gani'?

Ila si kweli wanawake wa machame huwaua wanaume zao pindi wanapofanikiwa kwenye maisha...maneno ni kwamba huko umachameni wanawake wajane ni wengi wanaishi kwenye majumba mazuri na watoto wao lakini baba alishafariki kitambo...
 
Na Mimi nasikia hivyo wachaga wa machame wana mchezo huo hata mwenyewe wanajuana kuna wachaga niliwauliza kuhusiana na hilo wakakataa wakasema" wamachame ndo wanamambo hayo lakini sisi wakibosho hakuna ujinga huo"
 
aisee inatisha sana
 
Muhaya, mmachame, mrangi, mpare, mwanamke wa Tanga. Wala sitothubutu kuoa. Hawa wengine ni wa kuoana wao kwa wao.
kwa kuwa wamekuzidi mbinu na maarifa ni vizuri utafute huko unakoendana nako..
 
Hata mimi niliogopa kuoa mwanamke wa kichaga kwa sababu hizohizo ndugu usikatae kwani lisemwalo lipo kama halipo basi linakuja, usidharau maneno yanayozungumzwa na wenzako huenda wana ushahidi suala sio ukabila cha msingi tabia ya asili waliyonayo ndugu zetu wanawake wa huko ni hizohizo zakudondosha waume zao baada ya chumo la mali kupatikana kwenye familia.
 
Weka huo ushahidi kama wewe unao.
 
Weka huo ushahidi kama wewe unao.
ushahidi wa nini wakat mambo na matendo yapo wazi, nahisi hata wewe ndugu zako yamewapata matendo hayo nasemea wanawake wakutokea Umachameni ni wabaya wa tabia ndio maana walibatizwa jina la WAPALESTINA kwa tabia zakukosa utu wa kibinadamu wao na mali ndo mungu wao khaaaa hawafai mwanzoni mtapendana sana na tena wana sura nzuri lakini mioyo yao ni hatari, asilimia kubwa wanaoana wao kwa wao hakuna mchaga wakutoka Rombo au Marangu akamuoa mwanamke wakimachame NEVER kama wapo wakuhesabu na wanaishi nao kwa tahadhari kubwa mimi nimeishi huko nawajua...
 
Habari za mchana wanajamvi,

Kuna hiki kitu binafsi mimi sikipendi japo bado kimekuwa kigumu kutoka kwenye baadhi ya vichwa vya watu.Wiki moja iliyopita jamaa yangu ambaye ni mwenyeji wa mkoa wa Mbeya alitembelewa na binti nyumbani kwao,jamaa akaona isiwe shida ikabidi amtambulishe kwa wanafamilia kama mchumba wake mtarajiwa,cha ajabu baadhi ya ndugu wa mwanaume wakauliza huyo msichana ni kabila gani, jamaa akawajibu ni mchaga wa machame, basi wote wakakaa kimya.

Yule binti alipoondoka tu maneno yakaanza mara oooh ndugu yetu sisi hatutaki uoe mwanamke kutoka uchagani aidha machame,au mpare na makabila yote ya mkoa wa Kilimanjaro,ukawa mjadala mrefu jamaa akaanza kubishana kwamba anaoa anayejisikia yeye ukawa ugomvi mkubwa sana na ndugu wa mwanaume wakaanza wakamwambia likimpata la kumpata asiwashirikishe kwani wao wanajua tabia za makabila haya.

Jamani hii tabia itaisha lini kwani makabila haya yana nini kibaya mpaka kunakuwa na ubaguzi wa aina hii.

Maoni yenu wakuu
Wewe nani kasema Ufo saro,wewe?
 
Baby....mie ndio maiti yako! Utaa
mua mwenyewe unizike kwa dini gani......Acheni ndoa za watu bana,watu watafutane hukoooo miaka yote....Mnataka waachane kwa siku moja..
 
Hizo mambo zakuchagua makabila ilikuwa zamani... Wengine MTAWASIKIA Fulani usioe wachawi lakini ukweli uchawi ni tabia ya mtu sio kabila... WATZ nani kawaloga
 
Habari za mchana wanajamvi,

Kuna hiki kitu binafsi mimi sikipendi japo bado kimekuwa kigumu kutoka kwenye baadhi ya vichwa vya watu.Wiki moja iliyopita jamaa yangu ambaye ni mwenyeji wa mkoa wa Mbeya alitembelewa na binti nyumbani kwao,jamaa akaona isiwe shida ikabidi amtambulishe kwa wanafamilia kama mchumba wake mtarajiwa,cha ajabu baadhi ya ndugu wa mwanaume wakauliza huyo msichana ni kabila gani, jamaa akawajibu ni mchaga wa machame, basi wote wakakaa kimya.

Yule binti alipoondoka tu maneno yakaanza mara oooh ndugu yetu sisi hatutaki uoe mwanamke kutoka uchagani aidha machame,au mpare na makabila yote ya mkoa wa Kilimanjaro,ukawa mjadala mrefu jamaa akaanza kubishana kwamba anaoa anayejisikia yeye ukawa ugomvi mkubwa sana na ndugu wa mwanaume wakaanza wakamwambia likimpata la kumpata asiwashirikishe kwani wao wanajua tabia za makabila haya.

Jamani hii tabia itaisha lini kwani makabila haya yana nini kibaya mpaka kunakuwa na ubaguzi wa aina hii.

Maoni yenu wakuu
Sasa Kama hujui tabia za wamachame au wachaga unalalamika nn?? Wenzio wanazjua!! Ubaguz utaisha had waache hizo tabia zao
 
Kumtafsiri mtu kwa kundi analotokea ni kushindwa kujua tabia halisi ya muhusika... HIYO KITU INAITWA STERIOTYPING
 
Sasa Kama hujui tabia za wamachame au wachaga unalalamika nn?? Wenzio wanazjua!! Ubaguz utaisha had waache hizo tabia zao
Nyie ndowalewale? Tabia ni ya mtu mwenyewe na sio kabila sasa wewe endekeza ukabila wenzako wanapata vitu vyamotoo
 
Back
Top Bottom