Proffesor
JF-Expert Member
- Aug 13, 2014
- 2,170
- 3,019
Proffesor anasema. .... Unamwalika msichana ( ndo na mfukuzia ) anakuja na wenzake wa tatu jumla wanakuwa wa nne sio kabisa wadau. . Jana nimemwalika msichana mmoja ambaye na mfukuzia for dinner. . Duhhhhh si wakaja wa 4 dahhh kidogo niabike isingekuwa hiz M-pesa nngeaibika hiyo jana.. hii tabia kwa wasichana sio kabisa aiseeee. . Ikumbukwe mtu unakuwa na bajet ya 1siku hiyo ..