Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 152,966
- 453,709
Hahhaha lazima tuwaonee wivuNawaonea wivu kwa kweli

Kwa kweli hii technologia ya sasa imekuwa ikileta mkanganyiko kweli anyway tuwaache na simu zaoHaya mambo magumu, mimi ninaenda kanisani na vitabu wanaoenda na wakati watajijua na Mungu wao.
Kwanza utaanzia wapi kuingia na simu mana kila mtu macho kodooKwa sisi wa Rc hawaruhusu hayo mambo..tena siku hizi umakutana na bango "simu haziruhusiwi ibadani"
Why usitumie hard copy?Usikereke mkuu tunakimbizana na teknolojia, mimi ni mmojawapo hapa umenigusa lakini sijaona shida ilipo huwa naweka flight mode chochote hakileti distraction.
Na nikiri nimekuwa msaada sana kwani naokoa mda sana pale tukiambiwa funua wakorintho 6, fasta wakati wengine wanahangaika na hardcopy, kamwe sijawahi kumkera mtu au simu ikawa kikwazo ibadani.
Acha uongo wewe. Nimeshuhudia mtu anatoa simu ili apigwe picha kuonesha kwamba na yeye alikuwepo kanisani.Tunatumia simu kusoma biblia,tenzi za rohoni nk.
Acha kuishi dunia ya kale.
Mi hi huwa natumia Sana kwenye jumuiya...inanifanya nafatilia kwa umakini Sana.mimi nakereka zaidi
unakuta wakati wa neno mtu anatoa simu anafungua biblia ya kwenye simu au wakati wa sifa anafungua tenzi kwenye simu,aisee napataga hasira sana
kuna ugumu gani wa kununua tu biblia yako na kwenda kanisani na ajabu kubwa ni kua imekua kama jambo la kawaida tu mashemasi wala wazee wa kanisa hawakatazi jambo ili,..
so sad
Hiyo ni ishara ya kufaulu kwa mind control program.Yani haiingii akilini all the time,usiku na mchana uko na simu ushindwe kuizima kwa masaa mawili au matatu,inashangaza sana
Usikereke mkuu tunakimbizana na teknolojia, mimi ni mmojawapo hapa umenigusa lakini sijaona shida ilipo huwa naweka flight mode chochote hakileti distraction.
Na nikiri nimekuwa msaada sana kwani naokoa mda sana pale tukiambiwa funua wakorintho 6, fasta wakati wengine wanahangaika na hardcopy, kamwe sijawahi kumkera mtu au simu ikawa kikwazo ibadani.
Hapo sasa na mm hiwa na kereka balaa watu an hawaheshmu ibadamimi nakereka zaidi
unakuta wakati wa neno mtu anatoa simu anafungua biblia ya kwenye simu au wakati wa sifa anafungua tenzi kwenye simu,aisee napataga hasira sana
kuna ugumu gani wa kununua tu biblia yako na kwenda kanisani na ajabu kubwa ni kua imekua kama jambo la kawaida tu mashemasi wala wazee wa kanisa hawakatazi jambo ili,..
so sad
Kwanini wakataze mkuu,au zile sio Biblia au sio Tenzi?najua una hoja hebu iweke wazi tukuelewe...mimi nakereka zaidi