GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,718
- 128,224
Unakuta unaingia Gesti / Loji na Mpenzi wako halafu unawakuta Watu na hasa hasa Wanawake wanaoishi Nyumba jirani hapo wanaanza kuhamisha Mikeka yao na kusogea kuja kuishi ama jirani na ilipo Gesti / Loji au njiani na wengine hata kusogea maeneo ya karibu na dirisha halafu wanaanza kupigwa stori zao za Kinafiki huku ukiona kabisa kwamba kuna kitu wanakifuatilia.
Na leo siwaonei aibu Watu wenye tabia hizi za Kishamba / Kimbwigira ni wa Ilala kuanzia pale Msimbazi Center, Boma, Amana, Bungoni na Malapa. Yaani utawakuta kabisa kabla hujaingia na Mtu wako ' Kupumzika ' wala hawako ' bize ' hivyo ila wakikuona tu uko na Mwanamke ndipo utawaona nao wanaanza pilikapilika zao huku wakijizungusha huku na kule kumbe nia yao kubwa ni ' Umbea ' tu hakuna kingine.
Sijawahi kuona ' Upuuzi ' huu katika Gesti / Loji za Temeke na hata Kinondoni kwani huko kila Mtu hujali maisha yake na hawana muda wa ' Umbea ' wenu kama mlio nao nyie Watu wa ' Ilala '. Bahati nzuri ' Washkaji ' zangu wengi wapo Ilala na ' Vijiwe ' vyangu vingi viko Ilala ila leo ' nawachana ' badilikeni na kuna hata Wanaume wenu baadhi wa Ilala nanyi mna hii tabia walizonazo Wanawake / Dada zenu.
Nawasilisha.