Hii staili ya kucheza kiboko.

jchofachogenda

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2012
Posts
537
Reaction score
123
Hii staili ya kucheza si mchezo, na kwa anaefahamu staili hii inaitwaje asisite kutupa ufahamu na sisi.
 
Hawa ni wajamaika, na michezo yao ni zaidi ya hapo.
 
passa passa, mbona hii easy , hata mimi naweza hiii
 
inaitwa,,,,,,,madunguruduh,hiya dudu,,nyumba ya mkwe ,hiya dudu,,teikwewa gu,hiya dudu,,,,,,,,,,,,,,,,,,wapare mpooooh,,,,,endeleza,:spy:
 
mmmmhhh we bwana wacha hiyo style ni kabambe. anaonja chumvi nini?
 
Nadhani ni bahati mbaya tu. Vinginevyo haiwezekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…