Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 385
- 884
Hivi ndivyo staa wa muziki nchini Harmonize alivyoshusha burudani Mkoani Kagera usiku wa kuamkia leo katika wilaya ya Karagwe
Na hii ni moja ya staili ya uchezaji wake ambayo imekuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki zake
Na hii ni moja ya staili ya uchezaji wake ambayo imekuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki zake