Idimi
Platinum Member
- Mar 18, 2007
- 15,666
- 11,759
Kama mpenzi wako si mwaminifu utajua tu, hata bila ya kupekua simu yake. Kunakuwa na mabadiliko fulani kaika mwenendo mzima wa maisha yake, akishakuwa na uhusiano usiofaa. Ukishajenga tabia ya kupekua simu yake basi atatengeneza mazingira ya kujihami, ikiwa ni pamoja na kufuta kila ujumbe unaoingia na kutoka katika simu yake na kufuta call log kila muda ili usijua kapiga na kupigiwa na nani. Noma sana.mimi siwezi ,huwa lazima nipekue ....tena sometime huwa nafanya kama suprise kama ambush ya kumkamata gaidi mkuu