Hii sms nimeikuta kwenye simu ya mpenzi wangu

Hii sms nimeikuta kwenye simu ya mpenzi wangu

Nimekuta sms hii iliyoandikwa na Polisi kwenye simu ya mpenzi wangu.

Unajua nakuthamini zaidi ya MSHAHARA, bila wewe siwezi kuishi ni sawa na kukosa BUNDUKI eneo la tukio,

nitakuheshimu kama ninavyoliheshimu LINDO, wewe ndio IGP wa moyo wangu, daima nitakuweka mbele kama

LIGHT MAKER kwenye gwaride, mbona uko kimya nijibu basi nipate kufungua JADALA ndani ya moyo wako.

Usinifante moyo ukaenda mbio kama DEFENDER MPYA, nitakuweka salama kama msafara wa RAIS, nina RB ya

penzi lako usiniweke ROHO juu juu kama yanavyoniweka maandamano ya CHADEMA.

Huyu Polisi anamsumbua sana mpenzi wangu.
Je nifanyajeeeeee???????

Ha ha ha verse za kipolisi hizo, lazima ujimix.

Copy: Filipo , PakaJimmy
 
Last edited by a moderator:
Mshitaki kwa igp ikishindikana kwa amiri jeshi mkuu kwa sababu anataka vunja amri ya sita kwani tanzania imeridhia kufuata sheria ya musa/mungu
 
Mkuu!!!! Ingekuwa ni Mimi ningeifanya siri yangu tu!!! Lingine ambalo nakuomba uwe makini nayo ni achana kabisa na simu ya mpenzi wako kwani utaweza kukuta kali zaidi ya hiyo.
 
Sasa kama 'hakuna kugusa simu yake kwa sababu ni yake' kuna haja gani ya kugusa mambo mengine ilhali ni 'yake kwake'?

Acha kukurupuka namna hiyo, nani kakwambia kuwa 'hakuna kugusa simu yake kwa sababu ni yake'.
Kugusa unagusa na hata yeye unamgusa na kumgonga ngozi kama kawaida.
 
Mkuu!!!! Ingekuwa ni Mimi ningeifanya siri yangu tu!!! Lingine ambalo nakuomba uwe makini nayo ni achana kabisa na simu ya mpenzi wako kwani utaweza kukuta kali zaidi ya hiyo.

Mficha ugonjwa kifo humuumbua kama ningekua msiri nisingeweza kupata ushauri tofauti tofauti ambao unaweza kunisaidia baadae. Mfano kuachana na simu ya mupenzi wangu coz itanisababishia mabalaa mbeleni.
 
Mkuu, kwanza soma mpenzi wako alimjibu nini afande ndio utajua nini ufanye.
 
Nimekuta sms hii iliyoandikwa na Polisi kwenye simu ya mpenzi wangu.

Unajua nakuthamini zaidi ya MSHAHARA, bila wewe siwezi kuishi ni sawa na kukosa BUNDUKI eneo la tukio,

nitakuheshimu kama ninavyoliheshimu LINDO, wewe ndio IGP wa moyo wangu, daima nitakuweka mbele kama

LIGHT MAKER kwenye gwaride, mbona uko kimya nijibu basi nipate kufungua JADALA ndani ya moyo wako.

Usinifante moyo ukaenda mbio kama DEFENDER MPYA, nitakuweka salama kama msafara wa RAIS, nina RB ya

penzi lako usiniweke ROHO juu juu kama yanavyoniweka maandamano ya CHADEMA.

Huyu Polisi anamsumbua sana mpenzi wangu.
Je nifanyajeeeeee???????
Hizi verse zitanisaidia sana siku naenda kumfuata mtu huko kwake Korogwe!...
Nadhani zitafanya kazi, pamoja na mhusika kuwa na mume wa kuchonga Arushaone

C:C KOKUTONA, Filipo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu!!!! Ingekuwa ni Mimi ningeifanya siri yangu tu!!! Lingine ambalo nakuomba uwe makini nayo ni achana kabisa na simu ya mpenzi wako kwani utaweza kukuta kali zaidi ya hiyo.

Like burying your head in the sand is gonna help with anything....
 
Acha utoto hizo ni mesej za kufowadiana wala hazina shida ila kama una wasiwasi shauri yako kwani raha jipe mwenyewe
 
Nimekuta sms hii iliyoandikwa na Polisi kwenye simu ya mpenzi wangu.

Unajua nakuthamini zaidi ya MSHAHARA, bila wewe siwezi kuishi ni sawa na kukosa BUNDUKI eneo la tukio,

nitakuheshimu kama ninavyoliheshimu LINDO, wewe ndio IGP wa moyo wangu, daima nitakuweka mbele kama

LIGHT MAKER kwenye gwaride, mbona uko kimya nijibu basi nipate kufungua JADALA ndani ya moyo wako.

Usinifante moyo ukaenda mbio kama DEFENDER MPYA, nitakuweka salama kama msafara wa RAIS, nina RB ya

penzi lako usiniweke ROHO juu juu kama yanavyoniweka maandamano ya CHADEMA.

Huyu Polisi anamsumbua sana mpenzi wangu.
Je nifanyajeeeeee???????

Mkuu saudari! Mbona umecopy jukwaa la utani na kuleta huku? Hii ishawekwa huko kiambo kama style ya kutongoza ya afande? Jitahidi basi ndugu Kuwa mbunifu usije ukalemaa, au vipi?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
WALE WOTE WASIOTAKA WAPENZI WAO WASHIKE WALA KUPEKUA SIMU ZAO SIO WAAMINIFU KABSAAAA!!!! AWE MWANAUME AU MWANA DADA KWANI KAMA NYINYI NI WAPENZI/WACHUMBA/WANDANDOA NI MWILI MMOJA, WENYE KUNIA MAMOJA, WENYE KULINDANA NA KUTUNZIANA SIRI N.K. ILA KWA VILE WENGI WENU MMETAWALIWA NA UWASHERATI NA UZINZI MNAKIMBILIA KUSEMA "Kwa nini unapekua simu ya mpenzi wako?:becky:

Hujui kama simu ya mpenzi wako ni mali yake binafsi?

Ukome kabisa kupekua pekua simu ya mpenziyo. Utakuja kufa siku si zako. Jiaminishe tu kuwa mpenzi wako ni mkweli na mwaminifu kwako hata kama hayuko hivyo." NA HAYA NI MANENO YA WATU WASIO WAAMINIFU KWA WENZI WAO.
 
ewe but NOTE THAT ukiona umependwa ujue kuna mshamba kapendwa ila ukiona umeachwa ujue kuna mjanja kapendwa. Think twice.
You seem to be a stiff-necked fool!
Nimekushauri kwa pm na kwa heshima uedit hii post, lakini huonyeshi kucomply.
Nincompoop, Vandal, blue-blistering barnacle in thundering typhoon!
This is the last warning, you rattling rat!
 
Sasa kama hakuna kugusa simu yake kwa sababu ni 'yake kwake' kuna haja gani ya kugusa mambo mengine ilhali ni 'yake kwake'?

Nyani Ngabu,
Ishu sio 'KUGUSA TU' na kupotezea, No. Ishu kubwa hapa ni kupekua inbox, call log na facebook messages katika simu ya mpenzi wako. Kuna wenzi wengi ambao hii tabia wanayo, yaani akishakutana na mpenzi wake baada ya kazi basi kikubwa atakachofanya ni kuomba simu ya mwenzi wake na kuingia kunako call log, inbox, sent item, Facebook messages n.k. This is nuisance in itself, mnakuwa kama hamuaminiani fulani vile. Simu zinavunja mahusiano mengi sana!
 
Back
Top Bottom