Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,613
Ndio mkomage kuokoteza malaya...lol😂Watakua wale wa magroup ya malaya huko insta, ilishanikutaga hii, Niligoma kutuma elf tano akachukua picha yangu akaipiga bonge la bandiko "MALAYA WA INSTA'' kaniambia nisipotuma hiyo 5k anaipost huko insta, Mbona niliomba pooo!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ha haa hela hairudishwi na ameblokiwa
Hii ndio hoja ya msingi hapaInawezekana 4,800 Ya Mstaafu ikaonekana ndogo kwa maana vipato vyetu vinatofautiana, Ila tuachane na hcho kiasi tuzungumzie comitment ya huyo dada kwa Mstaafu. Kama mtu mmewasiliana na mkahama na server juu mkafikia makubaliano yenu nje ya Jf Halafu ghafla unakiuka makubaliano na kumpa block Juu huo sio Uungwana hata kidogo.
Kwa maana ilikua ni kias cha kumtaarifu tu nmeshindwa kuja kwa sababu fulan then maisha yaendlee, Why mtu aanike mawasiliano yenu humu Jukwan kwa gharama ya Tsh 4,800?
Sio gubuuuuu! Mkitumiwa nauli mujeee.Ila nanyi muache gubu chaaaah!!
Kwa pesa hiyo nisingeona aibu kutajwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ngoja awataje sasa
Ndiyo tabia yenu hiiHiyo siyo hela??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] usipoenda atakuja kutuambia humuNiliyemuomba nauli aje atoe ushuhuda humu nayeye[emoji23]
Siendiiii nauli nakula na bloku juuu nampa🤣🤣🤣🤣kama yeye mwanaume kweli aje aseme tuu..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] usipoenda atakuja kutuambia humu
Ulivyosema alikuwa na birthday kuna mtu amenijia chap kichwani, ila hapana sio yeye kabisa.Sasa hivi simtaji
Katoka jalalani nini, mana wanajifanyaga wajanja kweli bumu likikataMm najua huyu hawez kububali achafuke naona amenitxt whatsapp sasa nasema hivi. Pesa irudi na riba ya 50 pasenti la sivyo nakuanika
😀😀😀😀Hakunaaaa!!!!
Rudisheni hela ya watu hapaaaa😀😀😀😀😀
Bahili kama ww hatukutaki apa una edit msg ya mpesa..kione kwanza😠🤑Mbibi nini lakini..!??
Kule kwa bajaji buku hiace ikichelewa kufika stend.Woiii siku hizi sikai tabata jomoniii...niko msakuzi mimi😂😂😂
Njoo pm nikutumie nauli alafu usije[emoji85] [emoji85] [emoji85] natest mitambo jamanSiendiiii nauli nakula na bloku juuu nampa🤣🤣🤣🤣kama yeye mwanaume kweli aje aseme tuu..
Khaaaaah!!Sio gubuuuuu! Mkitumiwa nauli mujeee.
Mstaafu alipanga ampe hela ya kutosha tu lakini kwanza mpaka afike mjengoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwakweliKwa pesa hiyo nisingeona aibu kutajwa
😀😀 Mi nipo upande wa bidada kwa kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwakweli