kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,489
- 18,379
700000+300000,ada yao ni cheap kweli, hata mimi nimeona..
Mkuu ile shule ya Babro ada ni milion nne...
700000+300000,ada yao ni cheap kweli, hata mimi nimeona..
Me natafuta A level kwa masomo ya arts. Pls. Wadau nisaidieni ni shule ipi nzuri kimaadili na kielimu
Natanguliza shukrani
St amedeus huko mosh ni jibu lako
Iko upande gani hiyo.?
Moshi vijijini wilaya ya himo karibu na chuo cha ualimu mandaka
Kweli wewe msanii. Kwanza unasema ulikuwa unapita tu on the way to Chemka ukaiona shule. Then unamalizia kwa kutuambia mdogo wako amepata shule nzuri (bila shaka ulimpeleka hapo). Wanasema ukiwa muongo uwe na kumbukumbu, Salaaale.
Bila Shaka we ni marketing officer wa shule
Nipoo mkuu,hw r ubibie...upo wewe
Maeneo ya shule siyo mazuri sana, ni changa! ila utashi na uwezo wa wanafunzi ndiyo ulitufurahisha sana, wana nidhamu ya hali ya juu na ukarimu uliotukuka.
Tuliyajua haya baada ya kusema na wachache, pia ni shule (naamini) yenye wanafunzi wenye uwezo mkubwa katika kuimba na kuabudu kuliko shule yeyote ile kwa Mkoa huu wa Kilimanjaro.
Hii ni promo isee
Nipoo mkuu,hw r u