Ni O level kaka, A level arts ziko kibao.
ni Ke au Me?
Ni mwanamume
Ni O level kaka, A level arts ziko kibao.
ni Ke au Me?
Naijua hiyo shule Kimeo mbaya
Hao watoto ni wajuzi wa nyimbo za kusifu na kuabudu KASWIDA au MAPAMBIO?
Hao watoto ni wajuzi wa nyimbo za kusifu na kuabudu KASWIDA au MAPAMBIO?
Hao watoto ni wajuzi wa nyimbo za kusifu na kuabudu KASWIDA au MAPAMBIO?
Tangazo lako lime eleweka, lakini ada hujatujuza..
Yapo mashule mengi sana yanayoibukia huko Moshi, mashule ya kisasa na yenge mandhari, majengo, walimu na uongozi bora sana. Mfano wake ni shule ya Mtakatifu Amedeus iliyopo Kilema Moshi. Inamilikiwa na Jimbo Katoliki Moshi. Zipo shule nyingi tu mpya zinazoibukia huko hasa za masista ndio nyingi hivyo mabinti wetu waweza kupata elimu ya viwango pamoja na maadili mema. Thanks to God for the Church, our benefactors and the local people!
Daaah!
tangazo limeeleweka
nkipata Mtoto Labda
hahaha! ila kashajibu jamaangoja tungoja majibu,
ila angalia username ya mwandishi..