Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 13,625
- 29,891
Ukikoswa koswa kuchambwa na samia unaangukia kwa mwigulu. Huyu anachamba balaa kama dada yake tu. Naona anayetia Doa ni Nchimbi huyu naona anaongea kwa utulivu mkubwa sana
Samia ni kiboko kwa kuchamba anakuchamba mpaka unakufa. Ukija Dar unakutana na Chalama naye mchambaji hawa nasikia wanakaa sana na samuya anawafundisha namna ya kuchamba watu.
Ambao wame master ni Mwigulu, Chalamila na wengine wengine tutaweka clips zao huko mbeleni. Serikali ya Wachambaji. Akiwemo mkongwe kikwete mshauri mkuu.
Nikimtizama Nchimbi naona anatia doa hii sehemu haimfai. Anaongea kwa utaratibu sana na utulivu. Hafoki hatukani watu.