Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,005
Kumekuwa na wimbi la watu wengi kunuka midomo haijalishi ni mwanaume au mwanamke,utakuta mwanamke mzuri kajipamba na kupendeza na lipstick mdomoni,lakini pindi unapoongea naye utakuta mdomo unatoa harufu kama choo cha TAZARA.
Pia utamkuta brother man ,katupia pamba za ukweli,lakini ukifungua mdomo unanuka zaidi ya choo,wengine mpaka rangi za meno nazo hubadilika.
Changamoto kwenye ndoa/mahusiano ya kimapenzi:
Hili tatizo la kunuka mdomo/kutoa harufu mbaya imepelekea watu wengi kushindwa kupigana mabusu haya kulana mate hali kadhalika kutosogeleana na hivyo tendo la ndoa kufanyika chini ya kiwango.
Hitimisho:
Kwa wale wasio jua na wanaona hiyo karaha ya kutoa harufu mbaya mdomoni inawezwa kumalizwa kabisa kwa kusafishwa MENO(dental clinics) na kisha kuzingatia kupiga mswaki kwa ufasaha.Imethibitika kwamba ni ngumu sana kwa binadamu kupiga mswaki na kufanya meno yake yake masafi kwa 100%.
Nawasilisha!