Hii sasa ni shida!

Hii sasa ni shida!

Sasa kipindi hiki cha mfungo ndio kero kabisaaa....yaaani ni shidaaaaaaaa..!!!
 
Kumekuwa na wimbi la watu wengi kunuka midomo haijalishi ni mwanaume au mwanamke,utakuta mwanamke mzuri kajipamba na kupendeza na lipstick mdomoni,lakini pindi unapoongea naye utakuta mdomo unatoa harufu kama choo cha TAZARA.

Pia utamkuta brother man ,katupia pamba za ukweli,lakini ukifungua mdomo unanuka zaidi ya choo,wengine mpaka rangi za meno nazo hubadilika.

Changamoto kwenye ndoa/mahusiano ya kimapenzi:
Hili tatizo la kunuka mdomo/kutoa harufu mbaya imepelekea watu wengi kushindwa kupigana mabusu haya kulana mate hali kadhalika kutosogeleana na hivyo tendo la ndoa kufanyika chini ya kiwango.

Hitimisho:
Kwa wale wasio jua na wanaona hiyo karaha ya kutoa harufu mbaya mdomoni inawezwa kumalizwa kabisa kwa kusafishwa MENO(dental clinics) na kisha kuzingatia kupiga mswaki kwa ufasaha.Imethibitika kwamba ni ngumu sana kwa binadamu kupiga mswaki na kufanya meno yake yake masafi kwa 100%.

Nawasilisha!

Yeah mimi nilianza kulifuatilia hili jambo baada ya kuona namna wazungu wanavyoo ng'aa meno kupitia movie ikanibidi nimuulize google kumbe tatizo letu ni kukosa formula na desturi ya kuvisit clinic za meno na kuwa na tendencies za kusafisha meno.(Bima ya fya itumie vyema hapa)
NB;UJUMBE MAHSUSI KWA WENYE MENO YA YANGA
 
Genetically, mtu mweusi ameumbwa na meno madhubuti kuliko mzungu. Tatizo lipo kwenye kutunza meno.

Meno unayoona katika picha za kizungu yote ni feki. Madaktari wana ujuzi wa kila aina kuanzia bleaching (kung'arisha) mpaka kutengeneza meno ya bandia (crown) kuonyesha kuwa actor ana meno "perfect" akicheka.

Ila, wao na wengine wana utamaduni wa kwenda kusafisha meno na kuziba viraka kila miezi sita. Sisi tunakwenda kumwona daktari jino limeshaoza. Wenzetu huko hawang'oi jino mpaka kila kitu kishindikane. Sisi tunang'oa kwa kuwa ujuzi hatuna.

Umeshaona wangapi wanavaa "braces" Tanzania kama katika picha chini kurejesha meno katika mstari?

ImageUploadedByJamiiForums1435934664.015640.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1435934691.609232.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1435934813.593677.jpg
(Teeth bleaching)
 
Genetically, mtu mweusi ameumbwa na meno madhubuti kuliko mzungu. Tatizo lipo kwenye kutunza meno.

Meno unayoona katika picha za kizungu yote ni feki. Madaktari wana ujuzi wa kila aina kuanzia bleaching (kung'arisha) mpaka kutengeneza meno ya bandia (crown) kuonyesha kuwa actor ana meno "perfect" akicheka.

Ila, wao na wengine wana utamaduni wa kwenda kusafisha meno na kuziba viraka kila miezi sita. Sisi tunakwenda kumwona daktari jino limeshaoza. Wenzetu huko hawang'oi jino mpaka kila kitu kishindikane. Sisi tunang'oa kwa kuwa ujuzi hatuna.

Umeshaona wangapi wanavaa "braces" Tanzania kama katika picha chini kurejesha meno katika mstari?

View attachment 265461

View attachment 265462

View attachment 265464
(Teeth bleaching)

Mimi apa nnavaa braces.ila sio kwa kupenda.eti urembo.afu sidhani kama kuvaa braces kinafanya niwe na fake teeth.Ni marekebisho tuu.na yanachosha mnoo.
 
Mimi apa nnavaa braces.ila sio kwa kupenda.eti urembo.afu sidhani kama kuvaa braces kinafanya niwe na fake teeth.Ni marekebisho tuu.na yanachosha mnoo.

Mkuu. Nisome vizuri. Braces Kama ulivyosema ni kurekebisha meno, siyo show off au fake teeth. Ndiyo maana nimeweka picha kuonyesha umuhimu wa kumwona daktari.

Nilikuwa naongelea actors wa Hollywood. Huwezi kukuta Ana mapengo au meno mabovu, not good for business. Lazina amwone daktari azibe na kuonekana "perfect" na meno masafi yanang'ara akicheka.
 
Back
Top Bottom