Hii Sapraizi imekaaje?

Hii Sapraizi imekaaje?

Sapraizi zangu Ni kuletewa tu boxer na singlend......

Kumbe ukioa unaletewa..... Nyumba

Dah
sumbai, hizo zinatosha. Boxer, singlands, t-shirts na sometimes cadets.

Surprise za nyumba na magari hahaha...! Mwisho utapigwa surprise ya mtoto!!
 
Kama Unavyoingia leo na nguo zako bila kuchangia hata Bati... Ndipo siku hiyo utaondoka na nguo ulizovaaa...!! utanyanyasikaa mpaka ukome...[HASHTAG]#pambafuu[/HASHTAG]...
 
Mkuu wewe jaribu kupiga mahesabu yako kutokana na jinsi unavyomfahamu kama kweli kwa vyanzo vyake vya mapato anaweza kufanya hilo jambo..anyway hata kama kuna jamaa amekusaidia wewe weka nguvu zako kujenga yenu kama familia,hawa viumbe wananyodo sana kesho na kesho kutwa unaweza kujuta kama utagandisha akili yako kwenye hyo nyumba..the choice is yours!
Unamalizia kabisa,

"All Options are on the table....! "
🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 😉
 
Mmmmm!!! Hapa bado kuna maswali mengi utujibu.
1.Mkeo anafanya kazi gani? Analipwa kwa mwezi sh ngapi? Je hiyo suprise inaendana na kipato chake?
2.Tangu muoane mna muda gani?
3.Mkeo ni kabila gani?
4.Mkeo anakuamini?
5.Mkeo anaamini mali alizotafuta baba au mama ni za familia?
Ukijibu hayo,nitakushauri.
 
sumbai, hizo zinatosha. Boxer, singlands, t-shirts na sometimes cadets.

Surprise za nyumba na magari hahaha...! Mwisho utapigwa surprise ya mtoto!!
Kabisaa......hizi za nyumba hazikawii kuanza kuwa mmeoana badala ya kuoa
 
Kweli hiyo ni surprise!!!!

Malizieni ujenzi tuu maana hamna namna ingine
 
Hapo amekusaprize ili ujue ana nyumba.Kimsingi iyo nyumba ni yake ata kama ana uwezo wakujenga bado kutokukuambia ni shida.kwaiyo ikikamilika iyo mshirikishe sasa mjenga yenu.Nyumba ni mradi mkubwa sana mtu kujenga kisiri siri bila kumshirikisha mwenzi wake ni tatizo.Ata kwa mwanaume sio vyema kujenga nyumba bila familia kujua.
 
Mke mwema afadhali amesema nyumba yetu mana hao plural hawana kila kitu ni singular, kuanzia vyombo vya ndani, watoto kila kitu changu
 
Sapraizi zangu Ni kuletewa tu boxer na singlend......

Kumbe ukioa unaletewa..... Nyumba

Dah
hahhaahhahaha I could not keep my mouth shut my blood brother

umewaza kwa sauti eeeeh
 
Back
Top Bottom