Hahahaha huuuuuu makubwa!!!!!!!!mkuu, hiyo nyumba nimemjengea mimi, we kaishi tu. siku nikihitaji kuhamia nitawajulisha
Na wewe muanzishie sapraizi mfululizo.
Hahahaha huuuuuu makubwa!!!!!!!!mkuu, hiyo nyumba nimemjengea mimi, we kaishi tu. siku nikihitaji kuhamia nitawajulisha
Na wewe muanzishie sapraizi mfululizo.
asante mkuuuUshauri mzuri kutoka kwa mwanamke.
Big up aisee, umeongea bila unafiki wowote
wanawake sisi ni wanyanyasaji sana asikupe kitu chake utajuta .... huwa hatusahauKuna baba alijenga kwenye kiwanja cha mkewe, basi kila wakigombana mkewe anamwambia ang' oe nyumba yake amuachie kiwanja chake. Akili ilimkaa sawa akajenga kwingine wakahamia na ile wakaipangisha na kumkabidhi mkewe documents zote.
Teh teh Sasa hiyo nayo Ni supraise????? Au Bomu la machozi.
Dada shemej hizo pesa tangu uanze kuomba naamini utamfanyia surprise ya ghorofa
Mkuu kwa hili inabidi aje ajibu hoja hapaKwanza haeleweki ameoa wake wangapi, maana hata sisi kaka zake ametushinda kwa kweli, leo utasikia kaamkia Bunju, kesho atakwambia wamehamia mkoani na vitu wameacha kwa mama mkwe, mara kesho kutwa atakwambia ameoa mke mwingine bikra!
Yaani kifupi Kaboom amebaki anatufanyia surprise tu.
Si wanaona mwanamke hawezi kujenga,tunaweza hata sisi jamani! kosa tu nikutokukushirikisha na hata kama ameandika jina lake shida iko wapi.Wanawake nao wanaweza, tuache utani, miaka hii kama mwanamke anaweza kukujengea nyumba ukabaki unashangaa, malkia wa nguvu indeed ,
Swali sasa kaboom hapa unataka ushauri gani umuache ama umkataze asiendelee kujenga ama? Sasa wanaume naona tumeanza kutawaliwa kiakili maana tukipata mwanamke mpenda maendeleo tunaomba ushauri eti huyu ananitendea haki kweli, tukipata mwanamke mcharuko tunaomba ushauri jamani mimi napiga chini demu gani huyu, inakua kama umezidiwa nguvu vile wakati wewe ndiyo kidume
Shukuru mkeo ye kaamua kukuambia wengine wanafichwa milele na wanaandika majina ya ndugu zao.Msaprise kwa kumletea mke mwenza...
Ukiamua kwenda kuishi hapo uwe mpole tu.Sasa ulete usenge ndani ya nyumba ndo utajua nyumba yenu au yake
Ila ajue hiyo ni yake na nduguze! Asipojizatiti akajenga yake atakuja kuumizwa ikifika saa 10 jioniSio kila kitu nikufanya saprice, hili ujenz angepaswa akujulishe mapema, ila yawezekana hua mnapeana saprice ata kwenye vitu vikubwa ila hakuna shida muongee muweke sawa vitu gan vya saprice na vyakushirikishana mapema
Hivi kuna mtu ataongeza neno? Umemalizakaka msalimie wifi.. kaka me ni dada yako usimfokee mwache aendelee na ujenzi mkimaliza mwambie muipangishe hiyo nyumba halafu mjenge nyingine tena .. nina maanisha najua wanawake kaka yangu sitaki kukuona umepata shida na ukafa kabla ya wakati sitaki kusemea kuwa kajengewa hapana ila utashindwa kuwa na control kaka yangu nakupenda bado kaka. haya pole na hongera
asante mkuuHivi kuna mtu ataongeza neno? Umemaliza
Lakini kwa mtaji huu hutaona hii sred ni chai? Msaada: Jinsi ya kutoa bikra kistaarabuasante mkuu
kweli aisee kaka yangu kawa msanii duhLakini kwa mtaji huu hutaona hii sred ni chai? Msaada: Jinsi ya kutoa bikra kistaarabu
tuliza akili wanawake wengi ni wabinafsi.mke mwema hanaye taka kiwe kimojaSalaam Wapendwa
Mi bado ni mgeni kwenye hii taasisi ya Ndoa..Japo kuna changamoto za hapa na pale ila Nashukuru Mungu bado hazijanizidi uwezo..Ila hii ya Juzi imenifikirisha kidogo.
Mi na wife tunashauriana,Shirikishana na kupanga mengi kwa Pamoja..Juzi kanichukua na kunipeleka maeneo ya Bunju kwa madai ya kwamba kuna sapraizi anataka kunifanyia..Nikajua uenda amenunua shamba anataka kunionyesha Au alishalima anataka kunionyesha maendeleo ya mazao yake..Mana kuna kipindi stori za kilimo zilikuwa hazikauki ndani ya nyumba..
Kinyume na mawazo yangu..Baada ya kufunguliwa kitambaa usoni Nakutana na Nyumba ambayo hiko kwenye hatua za Mwisho kabisa Kukamilika..Nikashikwa na Bumbuwazi baada ya kuniambia ni nyumba yetu..
Sina wasiwasi kwamba atakuwa kajenga kwa nguvu zake..Ila najiuliza mbona hajawahi kunishirikisha wala kugusia hili swala..Nilipomuuliza akaniambia hakutaka kunishirikisha kwa sababu alitaka iwe sapraizi...Hii ni sawa kweli kwa wanandoa??..
Embu naombeni mawazo yenu ya chap chap kabla na mi sijaamua kumuanzishia sapraizi mfululizo
..Binafsi nina mke na kuna mishe anzofanya baadhi nazijua but najua kwa kipato chake hawezi kuni surprise kwa kitu kinachozidi 5mil nikafurahi.
Amesahau na soksi pia ndiyo namsupraizishaga he he he