Hii raha au karaha?

Siku zote mtu ambaye yuko single hua anaandamwa na kitu kinachoitwa stress zisizo na maana!!yaan ful hasira,wivu,chuki ni shiiiiida yaani mfano mzur cheki lifestyle ya ma-sister wengii huwaga na gubu!hzo ni side effect za kuwa single!! Double raha sana teena upate anayekupeeenda uUuuh!
 
hilo gubu ndo haswaaa kuhusu hasira mi nakubaliana nawe 100%
 
Mapenzi ni matamu sana hasa mkutane mnaopendana kikweli sio bongo movie
 
Mapenzi ni matamu sana hasa mkutane mnaopendana kikweli sio bongo movie

kweli kabisa mana ya bongo movie ni noma. vip weye mume karejea kundini
 
Mmmh usinifikirie vibaya miye napata raha nimewaza tu maana ukimwa single hakunaga makuu but upweke ndo utakumaliza.
Ila kwa wengine ni karaha ndomaana nikatoa hayo

Kitendo cha wewe tu kufikiri kuwa katika aina fulani kuna makuu au hakuna hilo pekee ni tatizo

Kwanini unadhani nimekufikiria vibaya?
Hiyo vibaya ni ipi?
 
Kitendo cha wewe tu kufikiri kuwa katika aina fulani kuna makuu au hakuna hilo pekee ni tatizo

Kwanini unadhani nimekufikiria vibaya?
Hiyo vibaya ni ipi?

Lol kwann ufikirie hivi au vile huu msemo umenifa imenifanya nione umenijudge way far bt all in kila kitu kipo sawa usikonde
 
mapenzi karaha jamani mi ndo maana sipendi kila kuulizwa mara uko wapi mara unafanya nini mi akaa niko huru na nafsi yangu
 
ni raha kwa aliyependa anapopendwa na bado hajatendwa ila kinyume chake mapenzi yanakuwa zaidi ya karaha.
 
mapenzi karaha jamani mi ndo maana sipendi kila kuulizwa mara uko wapi mara unafanya nini mi akaa niko huru na nafsi yangu

Mmmh we hujapenda kuulizwa kuna raha yake. Japo lol uhuru nao raha
 
Mmmh we hujapenda kuulizwa kuna raha yake. Japo lol uhuru nao raha

mmh mie mwenzako nilishalazwa roho juu usiku wa manane!!

kila mara sms inaingia, baby naumwa kichwa!! mara ooh baby nimezidiwa!!

mmh, hapo mtoto wa watu anaishi kama km 15 kutoka nilipo!

kesho yake naamka, haraka haraka naenda kumjulia hali, aaargh, nikamkuta yu mzima wa afya tele!

jamani namuuliza honey vipi? homa imeisha?.. mtoto anajibu eti alikuwa ananitania!

dah, mbona nilichoka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…