Hii raha au karaha?

Kauli yako hii shansarie ni nzito sana. Kwangu mimi mapenzi ni raha sana na hata siku moja haiwezi kuwa karaha.



 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kabisa kama mnapendana ni raha sanaaaaa.


Raha kama mnapendana,karaha kama hupendwi/mapenzi yamepungua/kuchuja kabisaaaa!!!
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ndio raha ya kumpenda mwenzio, isingekua hivyo hata wewe usingejiuliza hayo yote

Na nampenda kweli si utani na kupendwa napendwa pia ndomaana nikajiuliza haya lol
 
Last edited by a moderator:
Kauli yako hii shansarie ni nzito sana. Kwangu mimi mapenzi ni raha sana na hata siku moja haiwezi kuwa karaha.


Kweli kabisa napenda tu signature yako unavikuja na truck big up
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
ukiwa single utatamani usiwe single
ukiwa na mtu utatamani uwe single

Mi nilikuwa nawaza ningekuwa single nidingekuwa namuwaza mtu yeyote but sitaki kuwa single ni stress zaidi kupendwa raha sana
Hasa ukipata mpendaji
Thumb up to kiwatengu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…