Hivi kumbe ndo niliandika hivi? Ndo nimerudia muda huuu nadhani mlinielewa. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mbona nyie mnajisemea kuwa Chama anakuja Simba?.kwahyo watu wakisema anakuja Simba mnavimbaaaa
Akuna anayevimba...ni swali tu limeulizwa.Mbona nyie mnajisemea kuwa Chama anakuja Simba?.kwahyo watu wakisema anakuja Simba mnavimbaaaa
Kwani chama anachezea simba?Mbona nyie mnajisemea kuwa Chama anakuja Simba?.kwahyo watu wakisema anakuja Simba mnavimbaaaa
ulichoandika kimenifikirisha sana.Akuna anayevimba...ni swali tu limeulizwa.
Ukiishughulisha akili yako unaweza kupata jawabu.
Ya Chama achana nayo maana kama anayemtaka ameweza kumwaga mpunga wa Bilioni 2 kwwny Ligi sidhani kama atashindwa kushindana kifedha kwenye sakata la Chama ukizingatia Ibenge ana mtaka Mukoko.
snitch unani back bite?Mkuu hawa watu wanataka kujifariji unawapa tu moyo waendelee
Well said mkuuJamaa anajaribu kufikisha ujumbe kwa code
Tafsiri ya hiyo caption ni kwamba kwa yeye kutosema chochote kwa waandishi wa habari msimchukulie kwamba ni boya. Hiyo ni alarm ambayo inawatahadharisha muwe makini
Na msione kama kapotezea ila anawasitiri tu kuwafichia aibu, na msipomlipa mshahara wake hiyo jezi aliyoishika itakuja kuaibika
Faini ya Morrison hadi mkutane kuijadilihivi huyu gsm anaetaoakanya mabilioni ndio ashindwe kulipa mshahara mtu!
Niliona akihojiwa kwenye mazoezi amesema ana mkataba wa miaka miwiliHuo mkataba ambao hawataki uhojiwe?
Mkataba upi wamevunja?Hivi wewe inakuingikia akilini gsm watoe 2.1 bilioni kwa tff na wadhindwe kumpa khalid aucho mshahara?
Hivi unajua gsm wamevunha mkataba wa chama kwa 1 bilion?
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app